Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MTIKILA

Rais Kikwete aongoza mamia kuaga mwili wa marehemu Mchungaji ChristopherMtikila Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumatatu Oktoba 7, 2015

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE LIUNDI KARIMJEE JIJINI DAR

Rais Jakaya Kikwete akiwasili Viwanja vya Karimjee kuaga mwili wa marehemu George Liundi. Jeneza lenye mwili wa marehemu Bakari George Liundi likiwa mbele ya waombolezaji.…

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

8Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ndugu na Jamaa wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, wakati wa kuaga mwili leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.LMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, leo Oct 07, 2015 katika...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAM WA RAIS DK,GHARIB BILAL AONGOZA MAMIA, KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUFTI ALHAJ SHEIKH SHAABAN ISSA BIN SIMBA

 Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilal akiwasili katika Msikiti wa Kinondoni  kwa ajili ya ibada  kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj  Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waislaam wakiwa katika msikiti wa kinondoni katika ibada ya kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj  Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DK,GHARIB BILAL AONGOZA MAMIA, KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUFTI ALHAJ SHEIKH SHAABAN ISSA BIN SIMBA

 Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilal akiwasili katika Msikiti wa Kinondoni  kwa ajili ya ibada  kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj  Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waislaam wakiwa katika msikiti wa kinondoni katika ibada ya kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj  Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aongoza kuaga mwili wa Mwakapugi Dar

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Arthur Mwakapugi tayari kwa ajili ya kusafirishwa leo kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo, Wilaya ya Tukuyu mkoani Mbeya.

 

9 years ago

StarTV

Lowassa aongoza mamia kuaga mwili wa Makaidi Dar.

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeungwa Mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA , Edward Lowassa ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dkt Emmanuel Makaidi.

Marehemu Emmanuel Makaidi alifariki Dunia Octoba 15 katika Hospitali ya Nyagao iliyopo Mkoani Lindi alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu.

Katika...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kuaga mwili wa Kapteni John Komba

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)Waziri wa Nchi,Ofisi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani