Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AUNGURUMA TUNDUMA NA KYELA, KAMPENI ZA UKAWA KUSITISHWA

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kampeni huko Tunduma mkoani Mbeya leo Oktoba 19, 2015. Kampeni za UKAWA, zitasimama kwa muda Oktoba 20, ili kutoa fursa kwa viongozi kushiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa UKAWA, marehemu Dkt. Emmanuel Makaidi, itakayofuatiwa na mzishi yake yatakayofanyika Sinza jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Fidelis Feix na Othman Michuzi)Mh. Lowassa akimnadi mgombea ubunge wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 kampeni za Lowassa Ukawa

Elimu bure hadi chuo kikuu, kuondoa umaskini, kuondoa ushuru wa mazao, kuweka riba kwa mazao yanayokopwa, ujenzi wa viwanda na kuongeza kasi katika utendaji kazi serikalini, ni mambo yaliyoibuka katika siku 10 za kampeni za mgombea wa Chadema, Edward Lowassa.

 

9 years ago

GPL

HOTUBA YA EDWARD LOWASSA WAKATI WA KUZINDUA KAMPENI ZA UKAWA JANA

Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015. HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015 Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa...

 

9 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU

Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015.
Hotuba ya Lowassa

Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015

Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu

Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...

 

9 years ago

TheCitizen

Lowassa’s plans for Tunduma

Chadema presidential candidate Edward Lowassa has promised to make the Tunduma border a 24-hour business hub.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA

  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Kyela Mkoani Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa wananchi wa Kyela...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA LOWASSA WAAHIRISHWA TUNDUMA

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma leo Jumamosi tarehe 17/10/2015, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake lakini mkutano huo uliahirishwa baada ya kutokea matatizo ya kiufundi ambapo vipasa sauti vilivyoandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mkutano huo kugoma kutoa sauti hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda na ndipo ililazimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo, hadi kesho...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AUNGURUMA MKOANI IRINGA

Sehemu ya Wafuachi wa CHADEMA na Vyama vinge vinavyounda UKAWA wakiupokea msafara wa Mgombe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ulipokuwa ukiwasili Mafinga Mjini, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 30, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, IRINGAMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani