Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa’s plans for Tunduma

Chadema presidential candidate Edward Lowassa has promised to make the Tunduma border a 24-hour business hub.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA LOWASSA WAAHIRISHWA TUNDUMA

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma leo Jumamosi tarehe 17/10/2015, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake lakini mkutano huo uliahirishwa baada ya kutokea matatizo ya kiufundi ambapo vipasa sauti vilivyoandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mkutano huo kugoma kutoa sauti hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda na ndipo ililazimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo, hadi kesho...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nitaondoa foleni Tunduma siku 21

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne, Edward Lowassa ameahidi kutumia siku 21 kumaliza msongamano wa malori eneo la Nakonde ambako ni mpaka wa Tanzania na Zambia, endapo atachaguliwa.

 

10 years ago

TheCitizen

Power failure cuts short Lowassa’s Tunduma rally

A cloud of mixed feelings yesterday engulfed Tunduma Primary School grounds when Chadema presidential candidate Edward Lowassa failed to address a campaign rally due to technical glitches.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AUNGURUMA TUNDUMA NA KYELA, KAMPENI ZA UKAWA KUSITISHWA

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kampeni huko Tunduma mkoani Mbeya leo Oktoba 19, 2015. Kampeni za UKAWA, zitasimama kwa muda Oktoba 20, ili kutoa fursa kwa viongozi kushiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa UKAWA, marehemu Dkt. Emmanuel Makaidi, itakayofuatiwa na mzishi yake yatakayofanyika Sinza jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Fidelis Feix na Othman Michuzi)Mh. Lowassa akimnadi mgombea ubunge wa...

 

10 years ago

TheCitizen

Uganda govt plans to make changes on new finance lawdeveloped,training,plans,holistic,practically

EOC had started training government agencies, and even developed the score cards

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

TUNDUMA HALI TETEE

Tunduma hali tete Chadema VS CCM. Watu wawili wamefariki mmoja kutoka Chadema na mwengine kutoka CCM baada ya kutokea vurugu. Wanachama wa CCM waliweka mawe barabarani kuwazuwia Chadema wasipite ndipo vijana wa Chadema waliposhuka kuondoa mawe […]

The post TUNDUMA HALI TETEE appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

CHADEMA Blog

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Tunduma

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye uwezo wa kutoa lita 5,000 kwa saa katika Hospitali ya Tunduma, wilayani Momba, Mbeya. Kisima hicho kimekabidhiwa jana na Ofisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani