Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA LOWASSA WAAHIRISHWA TUNDUMA

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma leo Jumamosi tarehe 17/10/2015, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake lakini mkutano huo uliahirishwa baada ya kutokea matatizo ya kiufundi ambapo vipasa sauti vilivyoandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mkutano huo kugoma kutoa sauti hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda na ndipo ililazimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo, hadi kesho...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa CAR waahirishwa

Wajumbe kwenye mkutano huo wanasema walitakiwa kuendelea na mkutano usiku kucha ili kubuni mkakati kuhusu mustakabali wa rais wa taifa hilo Michel Djotodia.

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TFF WAAHIRISHWA

Mkutano Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliokuwa ufanyike Tanga ikiwamo shughuli ya uwekaji jiwe la msingi kwenye kiwanja cha TFF jijini Tanga sasa umeahirishwa kwa muda usiojulikana.
Mwishoni mwa mwezi Novemba 2015, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) mkoa wa wa Ilala ulitoa agizo la kufungwa na kuchukuliwa fedha kutoka kwenye akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ili kulipa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1.6, sehemu kubwa ikiwa ni malipo ya kutoka kwenye mishahara...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ghasia:Mkutano wa kisiasa waahirishwa Guinea

Chama cha rais wa Guinea kimeahirisha mkutano wa kisiasa baada ya ghasia kuzuka katika mji mkuu Conakry.

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MAALUM WA HALMASHAURI KUU CCM WAAHIRISHWA

Katibu Mkuu Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM, Nape Nnauye amesema kikao cha Halmashauri Kuu CCM kimeahirishwa kwa muda na kitaendelea baadaye leo.

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE WAAHIRISHWA

WANA CCM MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI ULIOTARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 11/10/ 2014 UMEAHIRISHWA. 
VIONGOZI KATIKA KAMATI YA HALMASHAURI KUU NI WATANO NA KATI YA HAO WATATU WAMEPITISHA NA KUKUBALI KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI. NA WAWILI BADO HAWAJA JIBU. 
SABABU NI NINI?
1- WENGI WA WANACHAMA SIYO HAI KWANI ADA ZA WANACHAMA HAZIJALIPWA.
2- WAPIGA KURA WENGI HAWANA KADI.
3- KILA MUOMBAJI UWANACHAMA LAZIMA KAMATI ILIOPO IPITISHE OMBI LAKE
4- HADI SASA HAIJULIKANA TUNAWANACHAMA WANGAPI NA...

 

9 years ago

TheCitizen

Lowassa’s plans for Tunduma

Chadema presidential candidate Edward Lowassa has promised to make the Tunduma border a 24-hour business hub.

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA CCM WAAHIRISHWA HADI KESHO SAA 4 ASUBUHI

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete ameahirisha kikao cha Mkutano Mkuu wa CCM hadi kesho saa 4 asubuhi baada ya zoezi la wajumbe kupiga kura kumchagua mgombea mmoja wa urais kukamilika. Zoezi linaloendelea ni kuhesabu kura hizo.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani