MKUTANO MKUU WA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE WAAHIRISHWA
WANA CCM MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI ULIOTARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 11/10/ 2014 UMEAHIRISHWA.
VIONGOZI KATIKA KAMATI YA HALMASHAURI KUU NI WATANO NA KATI YA HAO WATATU WAMEPITISHA NA KUKUBALI KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI. NA WAWILI BADO HAWAJA JIBU.
SABABU NI NINI?
1- WENGI WA WANACHAMA SIYO HAI KWANI ADA ZA WANACHAMA HAZIJALIPWA.
2- WAPIGA KURA WENGI HAWANA KADI.
3- KILA MUOMBAJI UWANACHAMA LAZIMA KAMATI ILIOPO IPITISHE OMBI LAKE
4- HADI SASA HAIJULIKANA TUNAWANACHAMA WANGAPI NA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Oct
TANGAZO KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Gumzo New York na vitongoji vyake ni “Ommy Dimpoz kwa Poz ” a.k.a Super Handsome Live Up Close and Personal -Feb 21
10 years ago
VijimamboGUMZO LA JIJI LA NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE NI "OMMY DIMPOZ KWA POZ " A.K.A SUPER HANDSOME LIVE UP CLOSE AND PERSONAL -FEB 21
TICKETS ON SALE NOW FOR $40 *** THEY WILL BE MORE AT THE DOOR $50SEATED 3 -COURSE DINNERFIRST CLASS SERVICERED CARPET PAPARAZZI DRESS READY FOR ACTIONHIGH LEVEL SECURITY **********************************************************
10 years ago
GPLMKUTANO MKUU WA CCM WAAHIRISHWA HADI KESHO SAA 4 ASUBUHI
9 years ago
MichuziMKUTANO MKUU WA TFF WAAHIRISHWA
Mwishoni mwa mwezi Novemba 2015, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) mkoa wa wa Ilala ulitoa agizo la kufungwa na kuchukuliwa fedha kutoka kwenye akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ili kulipa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1.6, sehemu kubwa ikiwa ni malipo ya kutoka kwenye mishahara...
10 years ago
GPLMKUTANO MAALUM WA HALMASHAURI KUU CCM WAAHIRISHWA
9 years ago
VijimamboSALAMU KUTOKA KWA WENYEKITI WA CCM TAWI LA NEW YORK NA VITOGOJI VYAKE BWANA SEIF AKIDA !!
Mwenyekiti wa tawi la CCM Bwana Seif Akida anawatakia Watanzania wote uchaguzi mwema wenye amani.Tuwakemee wachochezi wa aina yoyote ili tuweze kuvuka kwa salama na amani.Wanadiaspora tunawatakia uchaguzi mwema. Maombi na sala zetu tunazielekeza kwenu mlio nyumbani Tanzania.Ameen.
Mungu Ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Africa. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida, wakiwa nyumbani kwa Ny Ebra Brooklyn pamoja na Mzee Lucas wakipata kinywaji na uku wakisikilizia mambo yatakuwaje...
10 years ago
Michuzimji wa musoma na vitongoji vyake wagubikwa na simanzi kubwa.
9 years ago
MichuziBENDI YA FM ACADEMIA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA MKOA WA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE