Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENDI YA FM ACADEMIA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA MKOA WA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE

Mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba Akiwa anaimba mbele ya washabiki wake waliouthuria onyesho la bendi hiyo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la ArushaWanenguaji wa bendi ya Fm Academia wakifanya mambo ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha.Washabiki wa fm wakiwa waangalia show ya nguvu iliyokuwa inadondoshwa na bendi hiyo.Picha zote na Woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA TEMEKE NA VITONGOJI VYAKE WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA TUO8JANUARY, JIJINI DAR

  Hii ilikuwa ni picha ya pamoja ya wasanii na mashabiki waliojitokeza kuunga mkono tamasha hilo la bure ambalo lina lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika maamuzi yenye mustakabali wa nchi.

WASANII wa muziki wa kizazi kipya, jana walitoa burudani ya aina yake pamoja na elimu kwa vijana juu ya ushiriki wao katika masuala ya nchi katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.Wakiongowa na  Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ pamoja na Niki wa Pili, wasanii aidi ya 10 waliwapagawisha...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE WAKUBALI MAKAMUZI YA TAMASHA LA FIESTA 2014.

Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga,huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa.
Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa.Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta.waliojoitokeza kwenye tamasha la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Temeke na vitongoji vyake walipokea vyema tamasha la Tuo8january, jijini Dar

IMG_3582

  Hii ilikuwa ni picha ya pamoja ya wasanii na mashabiki waliojitokeza kuunga mkono tamasha hilo la bure ambalo lina lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika maamuzi yenye mustakabali wa nchi.

WASANII wa muziki wa kizazi kipya, jana walitoa burudani ya aina yake pamoja na elimu kwa vijana juu ya ushiriki wao katika masuala ya nchi katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.

Wakiongowa na  Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ pamoja na Niki wa Pili, wasanii aidi ya 10 waliwapagawisha...

 

10 years ago

GPL

FIESTA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA SONGEA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Recho akifanya makamuzi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa majimaji, Songea. Recho akifanya yake jukwaani.…

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE

 Tangazo kutoka kwa Mwenyekiti wa tume huru ya kusimamia uchaguzi wa chama tawi la New York na vitongoji vyake Bwana Isaac Kibodya na wajumbe wenzake walikutana kupitia taratibu zote za uchaguzi Na kuafikiana kupitisha majina yafuatayo kwa uchaguzi wa Jumamosi October 11, 2014 Katika nafasi ya Mwenyekiti wagombea ni Bwana. Sefu Akida na Bwana. Maftah Hassan. Mweka hazina ni bwana. Henry Stambuli. Umoja wa vijana walioomba nafasi ni Mr. Gastol Mkapa na katibu wake ni Bi. Bahia Maundi. Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE WAAHIRISHWA

WANA CCM MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI ULIOTARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 11/10/ 2014 UMEAHIRISHWA. 
VIONGOZI KATIKA KAMATI YA HALMASHAURI KUU NI WATANO NA KATI YA HAO WATATU WAMEPITISHA NA KUKUBALI KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI. NA WAWILI BADO HAWAJA JIBU. 
SABABU NI NINI?
1- WENGI WA WANACHAMA SIYO HAI KWANI ADA ZA WANACHAMA HAZIJALIPWA.
2- WAPIGA KURA WENGI HAWANA KADI.
3- KILA MUOMBAJI UWANACHAMA LAZIMA KAMATI ILIOPO IPITISHE OMBI LAKE
4- HADI SASA HAIJULIKANA TUNAWANACHAMA WANGAPI NA...

 

10 years ago

Michuzi

mji wa musoma na vitongoji vyake wagubikwa na simanzi kubwa.

Pichani ni sehemu mojawapo ya mitaa ya Musoma mjini ikiwa na muonekano wa watu wachache mara baada ya kunaswa na Camera ya Globu ya Jamii mapema leo mchana,mji huo umegubikwa na simanzi na manjonzi makubwa kufuatia ajali mbaya ya mabasi mawili yaliyogongana uso kwa uso likiwe gari ndogo,na kupelekea kuondoa uhai wa watu takribani 40 na zaidi katika kijiji cha Sabasaba wilayani Butiama mkoani Mara.

 

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND WAKONGA MIOYO YA MASHABI WAO WA TABATA NA VITONGOJI VYAKE.

Vijana wa Yamoto Band waikonga mioyo ya mashabiki wao wa Tabata kwa kupiga show kali sana ndani ya Dar West ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu warejee kutoka UK Londoni ambako walikuwa na Ziara.
Hizi ni Picha za Show Nzima iliyofanyika jana Tabata.PICHA ZOTE NA www.harakatizabongo.comKayumba ni Zao kutoka Mkubwa na Wanawe akifungua show kwa kuimba kabla ya Vijana wa Yamoto Band.Mwanadada Marope kutoka Mkubwa na wanawe akitoa Burudani katika Ukumbi wa Dar west Tabata jana.Anaitwa Adamu...

 

11 years ago

Michuzi

KITOKOLOLO RAPA WA FM ACADEMIA AHAMIA BENDI YA MASHUJAA

1b Kitkololo akitangaza rasmi kujiunga na bendi ya Mashujaa leo kulia  ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Bw. Maximillian Luhanga. 3b Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Bendi ya Mashujaa Bw. Maximillian Luhanga akizungumza katika mkutano huo wakati alipomtambulisha rapa Kitokololo kushoto kutoka bendi ya FM Academia kulia ni  King Dodoo mshauri wa bendi hiyo na katikati. ……………………………………………………………………. BENDI ya Mashujaa imemchukua rapa, Kalidjo Kitokololo ‘Kuku’ kutoka bendi ya  FM Academia na kusaini naye ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani