Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIESTA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA SONGEA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Recho akifanya makamuzi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa majimaji, Songea. Recho akifanya yake jukwaani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BENDI YA FM ACADEMIA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA MKOA WA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE

Mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba Akiwa anaimba mbele ya washabiki wake waliouthuria onyesho la bendi hiyo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la ArushaWanenguaji wa bendi ya Fm Academia wakifanya mambo ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha.Washabiki wa fm wakiwa waangalia show ya nguvu iliyokuwa inadondoshwa na bendi hiyo.Picha zote na Woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta Songea, Ruvuma ni shidaa!

Wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia leo waliongezeka kwenye orodha ya mikoa iliyopata shangwe za Serengeti Fiesta 2014 hadi sasa. Jionee picha za show hiyo. Linah akiwa na shabiki ambaye uzalendo nae ulimshinda Linex aliwaimbisha wakazi wa Songea vya kutosha Mkuu wa wilaya ya Songea alikimtangaza mshindi wa Super nyota Diva Mkuu […]

 

10 years ago

GPL

WASANII WA FIESTA WATINGA KATIKA OFISI ZA MKUU WA MKOA WA SONGEA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Saidi Mwambungu (katikati) akiongea na wasanii wa Fiesta (hawapo pichani) asubuhi ya leo muda mfupi baada ya kuwaomba kunywa nao chai Ikulu ndogo Songea.…

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MANISPAA YA SONGEA KUONDOKANA NA TATIZO LA MAJI

http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698 Na Julius Konala wa demasho.com,Songea.
WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wataondokana na tatizo la upatikanaji wa maji lililokuwa likiwakumba kwa muda mrefu hususani kipindi cha kiangazi baada ya kuanza kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa kitega maji ambao unatekelezwa na kampuni ya Sinani Building Contactors Ltd yenye makao yake makuu mkoani Mtwara katika eneo la Ruhira mjini humo ambapo utagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni mbili mpaka kukamilika kwake.
Hayo yalisemwa...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YATOA FURSA KWA WAKAZI WA MBEYA NA SONGEA

Kupitia Semina za Fursa zinazoendelea kufanyika katika mikoa mbali mbali hapa nchini, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imekuwa ikitoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi na kuwahamasisha kujiunga na mfuko huo ili waweze kunufaika na mafao ya NSSF hususani matibabu bure kwa mwanachama na wategemezi wake pamoja na mikopo kupitia SACCOS.
Fursa nyingine kutoka NSSF ambazo mwanachama anaweza kunufaika nazo ni pamoja na Pensheni ya uzeeni, Pensheni ya Ulemavu, Pensheni ya Urithi,...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Songea waingia lawamani kwa magonjwa ya mlipuko

Wananchi Mkoani Ruvuma wametakiwa kuweka uchafu kuwa adui wao mkubwa na kuufanya usafi uwe rafiki wa kila wananchi  ili kuepukana na kisababisho kikubwa cha kifo ambacho ni uchafu.

Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma Mihayo Msekhela ameyasema hayo wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu  katika  kutekeleza adhima ya kufanya uasafi  kila suku ya jumamosi ya mwisho wa Mwezi

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela amesema kila mwananchi anatakiwa auchukie uchafu...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR

Wakazi wa Songea wakishuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika tamasha la Kili Music Tour katika uwanja wa Majimaji Songea.
Diamond Platnumz akithibitisha…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani