Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WA FIESTA WATINGA KATIKA OFISI ZA MKUU WA MKOA WA SONGEA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Saidi Mwambungu (katikati) akiongea na wasanii wa Fiesta (hawapo pichani) asubuhi ya leo muda mfupi baada ya kuwaomba kunywa nao chai Ikulu ndogo Songea.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASANII WA SERENGETI FIESTA WATINGA NDANI YA GENERATION FM MBEYA

WASANII  wanaotarajiwa kufanya makamuzi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, mapema leo walipata shavu la kufanyiwa mahojiano mafupi ndani ya Generation FM ya mjini hapo na kila mmoja akaweza kuweka wazi namna alivyojipanga kuwapagawisha wakazi wa Mbeya mara tu watakapoanza makamuzi yao usiku wa leo. Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akifanyiwa mahojiano mafupi ndani...

 

10 years ago

Bongo5

Picha : Wasanii wa Serengeti Fiesta watinga Radio za Mbeya na kuhaidi makamuzi

Wasanii wanaotarajiwa kufanya makamuzi usiku wa leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mapema leo walipata nafasi ya kutembelea radio za mkoa huo ambazo ni Mbeya Fm, Bomba Fm na Generation Fm. Nay wa mitego akiwa na Nay Lee wakiwa Generation Fm Nay wa Mitego na Mr Blue […]

 

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AKUTANA NA WAENDESHA PIKIPIKI SONGEA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akizungumza na waendesha pikipiki (Maarufu kama  Boda Boda) leo hii katika ukumbi wa Songea Club uliopo Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma. Mwambungu amewataka dereva Boda boda kuepusha ajali za barabarani kwa kufuata sheria,kutotumiwa katika maandamano ya kisiasa ambayo yanapelekea uvunjifu wa amani na kuwafanya wapoteze maisha ama kuwafanya kuwa walemavu. Pichani ni umati wa waendesha pikipiki wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wakimsikiliza...

 

9 years ago

StarTV

Ofisi za Waziri Mkuu, Mkuu wa Mkoa zagongana kuhusu baa la njaa isimani iringa

Siku chache baada ya Star Tv kuripoti taarifa ya baa la njaa linalotishia maisha ya watu karibu ya 70,000 wa tarafa ya Isimani mkoani Iringa, ofisi mbili za Serikali zimegongana juu ya jambo hilo.

Wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa imekilaumu kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha hadi watu kufikia hatua ya kula matunda pori kama chakula chao kikuu, kitengo hicho kimekanusha madai hayo kwa maelezo kuwa kuna utaratibu wa kutoa chakula cha msaada na...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAIPIGA JEKI OFISI YA MKUU WA MKOA WA LINDI

 Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF - LINDI Ndg: Ramadhani Mtumwa akikabidhi Msaada wa Mifuko ya Sementi 300 kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, iliyopokelewa na Mkuu wa wilaya ya Lindi Ndg Yahaya E. Nawanda Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndg Yahaya E. Nawanda (Kulia) akikabidhi Msaada wa Mifuko ya Sementi 300 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Ndg Seleman Ngaweje aliyo ipokea toka kwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF-LINDI kwa ajili ya Umaliziaji wa Ujenzi wa Maabara katika wilaya...

 

10 years ago

GPL

FIESTA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA SONGEA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Recho akifanya makamuzi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa majimaji, Songea. Recho akifanya yake jukwaani.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta Songea, Ruvuma ni shidaa!

Wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia leo waliongezeka kwenye orodha ya mikoa iliyopata shangwe za Serengeti Fiesta 2014 hadi sasa. Jionee picha za show hiyo. Linah akiwa na shabiki ambaye uzalendo nae ulimshinda Linex aliwaimbisha wakazi wa Songea vya kutosha Mkuu wa wilaya ya Songea alikimtangaza mshindi wa Super nyota Diva Mkuu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani