Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA RUVUMA AKUTANA NA WAENDESHA PIKIPIKI SONGEA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akizungumza na waendesha pikipiki (Maarufu kama  Boda Boda) leo hii katika ukumbi wa Songea Club uliopo Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma. Mwambungu amewataka dereva Boda boda kuepusha ajali za barabarani kwa kufuata sheria,kutotumiwa katika maandamano ya kisiasa ambayo yanapelekea uvunjifu wa amani na kuwafanya wapoteze maisha ama kuwafanya kuwa walemavu. Pichani ni umati wa waendesha pikipiki wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wakimsikiliza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKUTANO KATI YA MKUU WA MKOA DAR, WAENDESHA BODABODA 'WAYEYUKA KIANA'

 Mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda katika Jiji la Dar es Salaam akiwa chini ya ulinzi baada ya kudaiwa kuvuruga mkutano ambao ulikuwa umeitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.Kiongozi huyo anadaiwa alitoa taarifa za kuhairisha mkutano huo jambo ambalo halikuwa limewafurahisha wengine.  Askari Polisi wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda baada ya kutuhumiwa na waendesha bodaboda wenzake kuwa ametangaza kuhairishwa kwa mkutano kati yao...

 

10 years ago

GPL

WASANII WA FIESTA WATINGA KATIKA OFISI ZA MKUU WA MKOA WA SONGEA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Saidi Mwambungu (katikati) akiongea na wasanii wa Fiesta (hawapo pichani) asubuhi ya leo muda mfupi baada ya kuwaomba kunywa nao chai Ikulu ndogo Songea.…

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA RUVUMA.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika kuwahudumia wagonjwa wao waliolazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Thabiti Mwabungu na kulia ni Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabiti  Mwambungu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo  Waziri...

 

9 years ago

StarTV

Waziri Mkuu aipiga marufuku Hospitali ya Mkoa Ruvuma kutoaji  Mimba

Waziri Mkuu Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa amepiga marufuku utoaji wa mimba katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kufanya kazi ya utoaji Mimba atafukuzwa kazi mara moja.

Amesema hayo wakati akizungumza na watumishi, wauguzi na Madaktari wa Mkoa wa Ruvuma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kasimu Majaliwa mara baada ya kufanya ukaguzi katika hospitari ya mkoa wa Ruvuma  amesema ana taarifa  ya madakitar baadhi kuhusika na...

 

10 years ago

Habarileo

Waendesha pikipiki kushtaki Jiji

UMOJA wa waendesha pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam umekusudia kufungua kesi katika Mahakama Kuu kupata taarifa ya mipaka ya Mjini Kati (CBD) baada ya juhudi za mawasiliano na Hamashauri ya Jiji kushindikana.

 

11 years ago

Michuzi

Waendesha Pikipiki Wilayani Temeke wakutana

Umoja wa Waendesha Pikipiki wilayani Temeke ( UWAPITE) umekutana na kufanya mkutano wao mkuu leo katika ukumbi wa CCM kata 14 Temeke. Mgeni rasmi alikuwa ni Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa, ambaye aliwataka wanaboda boda hao kutii sheria na taratibu zote kama walivyotakiwa na Mamlaka husika, pia Ndg. Magesa aliwaasa wanabodaboda hao kuimarisha Umoja wao ili waweze kufanikiwa kufikia malengo yao. Ndg. Magesa aliahidi kufikisha katika Mamlaka husika mambo mbalimbali ambayo wanabodaboda hao...

 

11 years ago

Habarileo

Waendesha pikipiki wafa wakionesha mbwembwe

VIJANA wawili ambao ni waendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda, wamekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari la Serikali mali ya Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoni Mara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waendesha pikipiki, abiria wafa ajalini

WATU watatu wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi kwenye matukio tofauti, likiwemo la dereva wa pikipiki, Ramadhani Bakari (22), mkazi wa Yombo kumgonga mtembea kwa miguu. Kamanda wa Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani