Waziri Mkuu aipiga marufuku Hospitali ya Mkoa Ruvuma kutoaji  Mimba
Waziri Mkuu Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa amepiga marufuku utoaji wa mimba katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kufanya kazi ya utoaji Mimba atafukuzwa kazi mara moja.
Amesema hayo wakati akizungumza na watumishi, wauguzi na Madaktari wa Mkoa wa Ruvuma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kasimu Majaliwa mara baada ya kufanya ukaguzi katika hospitari ya mkoa wa Ruvuma amesema ana taarifa ya madakitar baadhi kuhusika na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA RUVUMA.
11 years ago
Dewji Blog22 Jun
Waziri wa Maliasili na Utaliii, Nyalandu aipiga jeki ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi akizungumza muda mfupi kabla msaidizi wa Waziri wa maliasili na utalii, Helen Mtalemwa (wa pili kulia) kukabidhi shilingi milioni kumi kwa ajili ya kuipunguzia makali ya uendeshaji ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.
Msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Helen Mtalemwa akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni Katibu wa mahakama ya Qadhi mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya uendeshaji wa mahakama hiyo mjini...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Majaliwa atembelea hospitali ya mkoa wa Ruvuma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Bibi. Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata matibabu katika chumba maalum cha wazee katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo Waziri Mkuu aliitembelea na kuzungumza na...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA RUVUMA AKUTANA NA WAENDESHA PIKIPIKI SONGEA
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
Waziri Bernard Membe apata udhamini wa kishindo katika mkoa wa Ruvuma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000. (Picha zote na John Badi).
Waziri wa Mambo ya Nje na...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KUANZA ZIARA MKOANI RUVUMA
Baada ya Waziri Mkuu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, atapokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, pia atakwenda Ikulu kupokea taarifa ya maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.
Aidha, siku ya jumatatu atakuwa na shughuli za kufungua tawi la Benki ya Posta mjini Songea, kukagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) kanda ya Songea na...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rUFsiZjf2-g/U8f0GPv79eI/AAAAAAAF3HY/Q3pSclwBj_I/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Zainab Matitu Vullu aipiga jeki hospitali ya wilaya ya Kisarawe
![](http://4.bp.blogspot.com/-rUFsiZjf2-g/U8f0GPv79eI/AAAAAAAF3HY/Q3pSclwBj_I/s1600/unnamed+(6).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-X1bDq1kz2ck/U8f0GmkJiGI/AAAAAAAF3Hc/nnyD61IRO6s/s1600/unnamed+(7).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0o-WtSQjHNk/Voon09WniNI/AAAAAAAIQJs/GXZ_Yh9dlMk/s72-c/maj21.jpg)
WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA HALI YA CHAKULA MKOANI RUVUMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-0o-WtSQjHNk/Voon09WniNI/AAAAAAAIQJs/GXZ_Yh9dlMk/s320/maj21.jpg)
Akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali jana jioni (Jumapili, Januari 3, 2016) katika ukumbi uliopo Ikulu ndogo Songea, Waziri Mkuu ameutaka uongozi wa mkoa kuhakikisha kuna upatikanaji wa masoko kwa mazao mbalimbali pamoja na kuendelea kutoa msukumo kwa wananchi.
Pia, ameupongeza uongozi wa mkoa huo kwa kutoa...