Zainab Matitu Vullu aipiga jeki hospitali ya wilaya ya Kisarawe
![](http://4.bp.blogspot.com/-rUFsiZjf2-g/U8f0GPv79eI/AAAAAAAF3HY/Q3pSclwBj_I/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabu Matitu Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani,Dk Happiness Ndossi baada ya kukabidhi > mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka, pamoja na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya Hospitali hiyo vyote vikiwa na gharama ya Shilingi Milioni Sita na laki tano
Wilaya ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi akionyesha moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabui Matiti Vullu kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dn2NnLwZdgM/VFIsQnyloyI/AAAAAAAGuLE/nQXnPhwjiF4/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
balozi seif aipiga jeki unique learning school
![](http://1.bp.blogspot.com/-dn2NnLwZdgM/VFIsQnyloyI/AAAAAAAGuLE/nQXnPhwjiF4/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-la7mtwPcGzw/VFIsQsRtWiI/AAAAAAAGuLI/9wkdtDqM5gA/s1600/unnamed%2B(27).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dFJfF3wAuh0/VFIsQwjjerI/AAAAAAAGuLQ/72w8IzdhZz4/s1600/unnamed%2B(28).jpg)
11 years ago
Dewji Blog22 Jun
Waziri wa Maliasili na Utaliii, Nyalandu aipiga jeki ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi akizungumza muda mfupi kabla msaidizi wa Waziri wa maliasili na utalii, Helen Mtalemwa (wa pili kulia) kukabidhi shilingi milioni kumi kwa ajili ya kuipunguzia makali ya uendeshaji ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.
Msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Helen Mtalemwa akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni Katibu wa mahakama ya Qadhi mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya uendeshaji wa mahakama hiyo mjini...
11 years ago
Michuzi12 Feb
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' aipiga jeki Uhuru Gym
9 years ago
StarTV06 Jan
Waziri Mkuu aipiga marufuku Hospitali ya Mkoa Ruvuma kutoaji  Mimba
Waziri Mkuu Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa amepiga marufuku utoaji wa mimba katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kufanya kazi ya utoaji Mimba atafukuzwa kazi mara moja.
Amesema hayo wakati akizungumza na watumishi, wauguzi na Madaktari wa Mkoa wa Ruvuma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kasimu Majaliwa mara baada ya kufanya ukaguzi katika hospitari ya mkoa wa Ruvuma amesema ana taarifa ya madakitar baadhi kuhusika na...
11 years ago
Habarileo07 Jan
Sumatra yatoa msaada hospitali ya Kisarawe
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetoa msaada wa vifaa vya hospitalini na kuwapa zawadi waliojifungua katika Hospitali ya Wilaya, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Mwaka mpya.
10 years ago
MichuziMBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME
10 years ago
VijimamboWILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI
10 years ago
GPLWILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI