Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


balozi seif aipiga jeki unique learning school

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seiof Ali Iddi akikabidhi Seti ya Kompyuta na Printa yake kwa Uongozi wa Unique Learning School iliyopo Upenja Wilaya ya Kaskazini “ B”.  Balozi Seif akiwasisitiza wanafunzi wa Unique Learning School kujitahidi katika masomo yao ili kujijengea hatma njema ya maisha yao ya baadaye kIelimu.Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi na Wanafunzi wa Unique Learning School mara baada ya kuwakabidhi Kompyuta kutekeleza ahadi aliyoupa uongozi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Zainab Matitu Vullu aipiga jeki hospitali ya wilaya ya Kisarawe

  Mbunge wa  viti maalum  Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabu Matitu  Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa  Wilaya  ya  Kisarawe mkoani Pwani,Dk Happiness Ndossi baada ya kukabidhi > mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka,  pamoja na mipira ya Baiskeli  kwa ajili ya Hospitali hiyo  vyote vikiwa na gharama ya Shilingi Milioni Sita na laki  tano Wilaya ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi  akionyesha moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti  maalum Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabui Matiti Vullu kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Maliasili na Utaliii, Nyalandu aipiga jeki ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida

DSC09580

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi akizungumza muda mfupi kabla msaidizi wa Waziri wa maliasili na utalii,  Helen Mtalemwa (wa pili kulia) kukabidhi shilingi milioni kumi kwa ajili ya kuipunguzia makali ya uendeshaji ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.

DSC09581

Msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Helen Mtalemwa akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni  Katibu wa mahakama ya Qadhi mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya uendeshaji wa mahakama hiyo mjini...

 

11 years ago

Michuzi

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' aipiga jeki Uhuru Gym

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na baadhi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo kutoka kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago ,Mussa Sindano Vifaa na kocha wa GYM hiyo Mohamed Chipota  Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa...

 

11 years ago

The Guyra Argus

Learning about the School of St Jude


Learning about the School of St Jude
The Guyra Argus
On Tuesday St Mary of the Angels were very fortunate to receive a visit from Mr Felix Mollel from The School of St Jude in Tanzania. Felix Mollel with Sharon Wittig (Photo by Simon Scott). Felix started working at the school as a bus driver in 2005, and is now ...
Maasai man proves education best weapon against povertyWarrnambool Standard

all 2

 

10 years ago

TheCitizen

A school exhibition in inquiry learning

>Agha Khan Standard Six pupils last week raised their voices for racial unity and quality.  The programme is part of the school’s Inquiry-Based learning curriculum. Inquiry-based approach to teaching and learning has a potential to increase intellectual engagement and foster deep understanding through the development of a hands-on, minds-on and ‘research-based disposition’ towards teaching and learning.

 

9 years ago

Daily News

Nkasi pupils rehabilitate school premises during learning hours


Nkasi pupils rehabilitate school premises during learning hours
Daily News
PUPILS from Lunyara Primary School in Nkasi District are rehabilitating infrastructure at their school, such as classroom floors that have numerous dusty patches, during school hours. The school which was established 24 years ago is located six ...

 

10 years ago

IPPmedia

PM promises to contribute learning material to Zanzibar primary school.


IPPmedia
PM promises to contribute learning material to Zanzibar primary school.
IPPmedia
Prime Minister Mizengo Pinda has promised to contribute 135 desks and chairs to Kiembesamaki Primary School in Magharibi Region after it requested him to reduce the shortage it faces. He made the promise on Saturday when handing over 45 desks and ...
Plastic school desks delight PindaDaily News

all 2

 

5 years ago

TechCrunch

UNESCO updates distance-learning guide for the 776.7 million children worldwide affected by school closures

UNESCO updates distance-learning guide for the 776.7 million children worldwide affected by school closures  TechCrunch

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani