Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' aipiga jeki Uhuru Gym
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na baadhi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo kutoka kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago ,Mussa Sindano Vifaa na kocha wa GYM hiyo Mohamed Chipota
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa...
Michuzi