Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI‏

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua Mrindoko.  Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto Ofisa Ardhi na Maliasili wa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO WILAYA YA IKUNGI SINGIDA‏

Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa mnara wa airtel Omar Hassan Mgisa Diwani wa kata ya Mwaru akikata utepe wakati wa uzinduzi wamnara wa airtel katika kijiji cha mwaru wilayani ikungi mkoani Singida jana wakati wa uzinduzi wa mnara huo. Katikati ni Meneja wa kampuni ya Airtel kanda ya kati bwana Martin Kilasara, akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Omary Hassan Mgisa Diwani wa kata ya Mwaru tarafa ya sepuka Wilayani Ikungi Singida Wakati...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO MAZINDE WILAYA YA KOROGWE‏

Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa pili kulia)) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa kampuni ya simu za mkononi Airtel Kata ya Mazinde wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. anayeshuhudia kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Simu ya Airtel Kanda ya Kaskazini Aluta Kweka. Katika juhudu zake za kuhakikisha watanzania waishio mjini na vijiji wanapata huduma bora za mawasiliano , kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo...

 

10 years ago

GPL

WORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA MRADI WA ELIMU KWA MTANDAO (E-LEARNING‏)

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (katikati), akizungumza na waandishi wahabari mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo. Dk.Seif Rashid, akizindua huo.… ...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA LINDI AZINDUA MRADI WA "HAKUNA WASICHOWEZA"‏

Mkuu wa wilaya ya lindi,Yahaya Nawanda(katikati)akikata utepe kuzindua rasmi mradi wa”Hakuna wasichoweza” unaowapatia elimu ya hedhi na vifaa vya kujistiri wasichana ili wasikose kuhudhuria masomo yao mashuleni,Mradi huo unadhaminiwa na Vodacom Foundation na kuendeshwa na T-Marc Tanzania mkoani humo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Aisha Mahadni mwanafunzi wa shule ya msingi stsdium,Renatus Rwehikiza mkuu wa Voacom Foundation,Mkurugenzi wa T-Marc Tanzania,Diana Kisaka na mwanafunzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

BOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Masia Mushi, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa pamoja na Kampuni ya Kimataifa ya Uendelezaji wa Ardhi ya AVIC, kuhusu mradi mkubwa wa mikopo nafuu ya nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo, zilizopo eneo la Somangira, Kigamboni jijini Dar es Salaam, ambao utawanufaisha watanzania hususani wateja wa benki ya BOA, ambao ulisainiwa rasmi jana. Katikati ni Naibu...

 

9 years ago

Vijimambo

MRADI WA UENDELEZAJI SEKTA YA MAZIWA AFRIKA YA MASHARIKI (EADD II)

Mkurugenzi wa Asas Dairies Ltd, Salim Asas Abri (aliyesimama) akitoa maelezo ya kiwanda cha kuzalisha maziwa na bidhaa zake kilichopo mkoani Iringa kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Kamani wakati ya ziara ya kutembelea nyanda za juu kusini kupitia mradi wa uendelezaji sekta ya maziwa afrika ya mashariki awamu ya pili.Mradi wa uendelezaji sekta ya maziwa Afrika Mashariki (East Africa Dairy Development) ni mradi wa miaka mitano (2013-2018) unatekelezwa kwa awamu ya pili...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI‏

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa na Viongozi wa Umoja wa Mafundi Magari Tegeta wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi kati ya wanaumoja huo pamoja na mwekezaji alipokwenda kuwasikiliza kuhusu mgogoro huo Dar es Salaam jana.  DC Paul Makonda akiwahutubia wana umoja huo.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda… ...

 

9 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA LINDI AZINDUA MRADI WA "HAKUNA WASICHOWEZA"‏

Mkuu wa wilaya ya lindi,Yahaya Nawanda(katikati)akikata utepe kuzindua rasmi mradi wa”Hakuna wasichoweza” unaowapatia elimu ya hedhi na vifaa vya kujistiri wasichana ili wasikose kuhudhuria masomo yao mashuleni,Mradi huo unadhaminiwa na Vodacom Foundation na kuendeshwa na T-Marc Tanzania mkoani humo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Aisha Mahadni mwanafunzi wa shule ya msingi stsdium,Renatus Rwehikiza mkuu wa Voacom...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani