Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MRADI WA UENDELEZAJI SEKTA YA MAZIWA AFRIKA YA MASHARIKI (EADD II)

Mkurugenzi wa Asas Dairies Ltd, Salim Asas Abri (aliyesimama) akitoa maelezo ya kiwanda cha kuzalisha maziwa na bidhaa zake kilichopo mkoani Iringa kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Kamani wakati ya ziara ya kutembelea nyanda za juu kusini kupitia mradi wa uendelezaji sekta ya maziwa afrika ya mashariki awamu ya pili.Mradi wa uendelezaji sekta ya maziwa Afrika Mashariki (East Africa Dairy Development) ni mradi wa miaka mitano (2013-2018) unatekelezwa kwa awamu ya pili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mh Kaika Telele akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya Maziwa Afrika Mashariki uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl Nyerere Mwishoni mwa Wiki.  Mkurugenzi Mkuu wa Heifer International Tanzania, Dk Henry Njakoi akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya maziwa nchini na wa kimataifa waliofika katika uzinduzi wa Mradi wa Uendelezaji Sekta ya Maziwa Afrika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kusaidia uendelezaji sekta ya maziwa

SERIKALI ya Tanzania imeahidi kutoa ushirikiano katika kufanikisha awamu ya pili ya mradi wa uendelezaji sekta ya maziwa Afrika Mashariki, ili wananchi wake waweze kunufaika. Ahadi hiyo ya serikali ilitolewa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Mbeya kunufaika na mradi wa EADD

DSC_0331

Mfugaji wa Heifer International Tanzania akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International, Bw. Steve Denne (mwenye kofia) alipotembelea miradi inayofadhiliwa na shirika hilo.

Na. Mwandishi Wetu

WAKAZI wa mkoa wa Mbeya wanatarajiwa kunufaika zaidi kwa mradi wa Uendeshaji Sekta ya Maziwa Afrika Mashariki (EADD) uliochini ya shirika la kimataifa la Heifer.

Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International, Bw. Steve Denne, aliyasema hayo hivi karibuni alipomtembelea Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto Ofisa Ardhi na Maliasili wa...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

10 years ago

GPL

WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI‏

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua Mrindoko.  Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua ...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki akagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Mradi wa Kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II

Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Abdulla Saadala jana alishindwa kuzindua Mashine ya kuchakata Alizeti iliyotolewa na Mradi wa kuifadhi Mazingira wa Ziwa Victoria LVEMP II kwa sababu ya kuwa na kasoro ndogo ndogo za kiufundi na utendaji.
Akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Kilulu nje kidogo ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu Mhe. Juma alisema ikiwa ni ahadi yake ya kuzindua mashine hiyo lakini ameshindwa kufanya hivyo baada ya kutokeza kasoro za kiufundi na ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo yanayokwamisha sekta ya maziwa katika Mkoa wa Iringa

Iringa ni miongoni mwa mikoa michache nchini iliyobahatika kuwa na hali ya hewa na mazingira rafiki kwa ufugaji wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa.

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani