Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Masia Mushi, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa pamoja na Kampuni ya Kimataifa ya Uendelezaji wa Ardhi ya AVIC, kuhusu mradi mkubwa wa mikopo nafuu ya nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo, zilizopo eneo la Somangira, Kigamboni jijini Dar es Salaam, ambao utawanufaisha watanzania hususani wateja wa benki ya BOA, ambao ulisainiwa rasmi jana. Katikati ni Naibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto Ofisa Ardhi na Maliasili wa...

 

10 years ago

GPL

WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI‏

 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua Mrindoko.  Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal azindua mradi wa ujenzi wa nyumba za mji wa Avic, ‘Avic Town’ uliopo Kigamboni Dar.

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa Rais wa ‘Avc International’, Dkt. Cheng Baozhong (kushoto) kwa pamoja wakikata utepe kuzindua ramsi Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avoc ‘Avic Town’, uliozinduliwa leo Kigamboni jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing...

 

10 years ago

Michuzi

utiaji saini Mkataba wa uendelezaji wa Ujenzi wa Jengo la Upasuaji katika Hospitali ya Micheweni, pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kutoa ajira maalum kwa Watendaji wa Sekta ya Afya watakaotoa huduma za afya Kisiwani Pemba ili kujaribu kuondosha tatizo la uhaba wa watendaji wa sekta hiyo.  Alisema mpango huo utakuwa wazi na kutangazwa kwa watendaji wenye sifa za kufanya kazi hiyo watakuwa huru kuomba nafasi hizo na yule atakayeamua kutumia fursa hiyo kwakufanya ujanja wa kuchukuwa uhamisho kufanya kazi unguja atambue...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya CBA kuuza nyumba za kampuni Avic kwa mikopo ya masharti nafuu

 

cba 2

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania  Bw.Julius Mcharo (katikati) akiwa pamoja na maofisa wa CBA na  Avic International Real Estate wakiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)  muda mfupi kabla ya kusaini mkataba ambapo CBA itawakopesha wateja wanaotaka kununua nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

cba 8

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi wa Benki ya CBA,Bi.Hyasintha Mwimanzi akiwaleza waandishi wa habari  utaratibu wa mkopo wa nyumba...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA MJI WA AVIC, 'AVIC TOWN' ULIOPO KIGAMBONI DAR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Mki wa Avic, 'Avic Town', uliofanyika leo Juni 13, 2015 Kigamboni jijini Dar es SalaamMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa Rais wa 'Avc International', Dkt. Cheng Baozhong (kushoto) kwa pamoja wakikata utepe kuzindua ramsi Mradi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA JIJINI DAR

 Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es Salaam, Mradi huo una ekari 583.  Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

pinda akutana na viongozi wa kampuni ya AVIC Group China Civil Aviation inayotaka kuwekeza ATCL

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na viongozi wa  wa Kampuni ya China ya  AVIC Group China  Civil Aviation inayokusudia kuwekeza katika kampuni ya  Ndgege ya ATCL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.

 

10 years ago

GPL

SIMBA YAINGIA MKATABA NA EAG

Aveva akizungumza jambo katika hoteli ya Southern Sand kuhusu mkataba na EAG Group. Rais wa Simba, Evans Aveva (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group, Iman Kajula (katikati) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Jasmine Badar Soud wakati wa hafla ya kutangaza mkataba.  Aveva na Kajula.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani