Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


pinda akutana na viongozi wa kampuni ya AVIC Group China Civil Aviation inayotaka kuwekeza ATCL

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na viongozi wa  wa Kampuni ya China ya  AVIC Group China  Civil Aviation inayokusudia kuwekeza katika kampuni ya  Ndgege ya ATCL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na uongozi wa kampuni ya China Merchant Group

PG4A7353

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi  2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni. (Picha bna Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7297

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Burundi Pierr Nkurunzinza katika chakula cha...

 

10 years ago

ETurboNews

Civil Aviation Authorities Civil Aviation Authorities in Africa at odds


The Standard Digital News (satire) (press release) (registration) (blog)
Civil Aviation Authorities Civil Aviation Authorities in Africa at odds
eTurboNews
Coinciding with the start of bilateral talks over a range of issues related to tourism relations between Tanzania and Kenya yesterday, news emerged from Dar es Salaam that the patience of the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) has finally run out.
Diplomatic row looms as Kenya's access to Tanzanian airspace cutThe Standard Digital News...

 

11 years ago

Michuzi

JK akutana na makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel group ya Vietnam

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel Group ya nchini Vietnam Bwana Le Dang Dung ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

 

10 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA UONGOZI WA MAKAMPUNI YA CHINA YANAYOTAKA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA RELI NCHINI TANZANIA

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya China yakiongozwa na China Railway Group Ltd. Makampuni mengine ni SINOSURE, Exim Bank, China Development Bank na China Agriculture Development Bank. Rais Dkt. Kikwete yuko nchini China kwa ziara rasmi ya kikazi (State Visit).Rais Dkt. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

UK offers security equipment to Tanzania Civil Aviation Authority

Acting UK High Commissioner to Tanzania Ms Penny Smith hands over aviation security equipment to Director General of Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Mr. Charles Chacha
Acting  UK High Commissioner to Tanzania Ms. Penny Smith hands over a certificate to one of the participants of the training course.

Acting UK  acting High Commissioner to Tanzania Ms Penny Smith giving her keynote address during closing of training course and handling of aviation security equipments along side are...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na ujumbe wa kampuni ya SUMITOMO

PG4A5470

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa  wa Kampuni ya Japani ya  SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni Rais wa kampuni hiyo, Nakamura Kumharu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani