Pinda akutana na ujumbe wa kampuni ya SUMITOMO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wa Kampuni ya Japani ya SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni Rais wa kampuni hiyo, Nakamura Kumharu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Sep
Pinda akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya...
10 years ago
Dewji Blog08 May
Pinda akutana na ujumbe kutoka Tume ya Haki za Binadamu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA TBEA YA CHINA, IKULU DAR



10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Pinda akutana na uongozi wa kampuni ya China Merchant Group
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni. (Picha bna Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Burundi Pierr Nkurunzinza katika chakula cha...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA HENGYANG TRANSFORMER LIMITED LEO
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA SCHLUMBERGER
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
pinda akutana na viongozi wa kampuni ya AVIC Group China Civil Aviation inayotaka kuwekeza ATCL
.jpg)
.jpg)