Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia

PG4A5227

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na   Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu  wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A5243

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu  wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya mazungumzo rasmi kati yake na ujumbe...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA (WB) MAPEMA LEO

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (mbele ) akiongoza kikao kilichokutanisha ujumbe kutoka Benki ya Dunia na watalaam wa Wizara ya Nishati na Madini ili kujadili maendeleo ya miradi ya nishati nchini inayofadhiliwa na Benki hiyo, changamoto zake na kupata mapendekezo ya kuboresha miradi hiyo.Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi , Philippe Dongier (kushoto) akimweleza Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) mikakati ya Benki hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na ujumbe wa kampuni ya SUMITOMO

PG4A5470

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa  wa Kampuni ya Japani ya  SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni Rais wa kampuni hiyo, Nakamura Kumharu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

GPL

DK SHEIN AKUATANA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji pia Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi,  Dk. Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji pia Ofisa Mwendeshaji Mkuu… ...

 

10 years ago

Michuzi

DK.Shein Akuatana na Ujumbe wa Benki ya Dunia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na ujumbe kutoka Tume ya Haki za Binadamu

PG4A1772

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA



 Jaji   Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi ( wa kwanza kulia) akizungumza leo na ujumbe wa Benki ya Dunia (WB)  kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika ripoti ya utafiti juu ya usikilizaji na umalizaji  wa mashauri ya jinai kwa wakati. Wa pili kulia ni Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Sharmillah Sirwatt na...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA KATI YA MAHAKAMA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA PAMOJA NA WADAU WENGINE WA MAHAKAMA KUJADILI JUU YA MABORESHO YA HUDUMA YA UTOAJI HAKI NCHINIMhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (katikati), Mhe. Shaaban Ali Lila, Jaji Kiongozi  wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa tatu kulia), Bw. Waleed Malik, Mtaalam kutoka BENKI ya Dunia, (wa tatu kushoto), Mhe. Adel Kent, Jaji kutoka Mahakama Canada  (wa pili kushoto), Bw. Menbere kutoka Mahakama-Ethiopia (wa pili kulia), Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA BADEA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Fedha Saada Mkuya (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya mazungumzo kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahm Hassan Naq,Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani