Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA (WB) MAPEMA LEO

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (mbele ) akiongoza kikao kilichokutanisha ujumbe kutoka Benki ya Dunia na watalaam wa Wizara ya Nishati na Madini ili kujadili maendeleo ya miradi ya nishati nchini inayofadhiliwa na Benki hiyo, changamoto zake na kupata mapendekezo ya kuboresha miradi hiyo.Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi , Philippe Dongier (kushoto) akimweleza Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) mikakati ya Benki hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya mazungumzo rasmi kati yake na ujumbe...

 

10 years ago

Vijimambo

KANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIKatika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia

PG4A5227

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na   Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu  wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A5243

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu  wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA KOREA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mmoja wa wafanyabishara wa nishati kutoka Korea akiangalia  vinyago kwenye banda la  Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) kwenye Maonesho  ya Kimataifa ya  Sabasaba (Dar es Salaam International  Trade Fair; DITF) yanayoendelea katika  viwanja  vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Afisa wa Huduma kwa Wateja kutoka Shirika la  Umeme Nchini (TANESCO)  Lucas Kusare ( wa pili kutoka kulia) akiwaonesha  wafanyabiashara wa nishati kutoka Korea mfano wa mtambo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini akutana na Balozi wa Marekani nchini

Na Teresia Mhagama
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress na Ujumbe wake, wamekutana na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachewene, katika makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.
Viongozi hao walikutana ili kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo miradi ya umeme inayofadhiliwa na Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), mradi mkubwa wa umeme unaofadhiliwa na nchi ya Marekani ujulikanao kama Umeme Afrika (Power Africa) pamoja na suala la kuwajengea...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) akizungumza na balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake leo kwa ajili ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015. Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia) juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano hilo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BW. MAYANK BHARGAVA NA BW. PAUL HINKS MJINI WASHINGTON, DC


 Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumuzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne June 10, 2014. Katika mazungumuzo hayo alikuwemo Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao kutoka Tanzania.  Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhomgo akifanya mazungumuzo na Mr....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani