Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA KOREA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mmoja wa wafanyabishara wa nishati kutoka Korea akiangalia  vinyago kwenye banda la  Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) kwenye Maonesho  ya Kimataifa ya  Sabasaba (Dar es Salaam International  Trade Fair; DITF) yanayoendelea katika  viwanja  vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Afisa wa Huduma kwa Wateja kutoka Shirika la  Umeme Nchini (TANESCO)  Lucas Kusare ( wa pili kutoka kulia) akiwaonesha  wafanyabiashara wa nishati kutoka Korea mfano wa mtambo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUNG'ARA KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mtaalamu kutoka  Tanzania Gemmological Centre (TGC) Bw. Prosper Tingo akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la TANSORT Baadhi ya washiriki kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na kampuni ya Max- Malipo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya  kuanza kwa maoneshoMjiolojia kutoka Idara ya Nishati Bw. Habass Ng’ulilapi akielezea sera ya nishati kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

Mmoja wa wakina mama kutoka Kikundi cha Wachimbaji Madini Wanawake Tanzania, (Tanzania Women Mining Association) Shamsha Diwani (katikati) akitoa maoni yake mara baada ya kutembelea banda la Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi Nchini ( TANSORT) kwenye maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Mtaalam kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi Nchini ( TANSORT) Dorcus Moshi (katikati) akiwaelimisha watoto...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUMWAGA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2015

Mtaalam katika Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Rayson Nkya (kushoto) akielezea sera ya madini kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Mtaalam kutoka Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), Ayoub Shija akielezea shughuli za mgodi huo katika banda la Wizara ya Nishati na Madini.Mtaalam kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Steven Lowoko akitoa maelezo juu ya jinsi mtambo wa...

 

11 years ago

Michuzi

Kaimu Katibu Mkuu atembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya Sabasaba

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili kwenye Banda la Maonesho la Wizara katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere ambako Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanafanyika. Wengine wanaoshuhudia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Mkumbwa Ally (mwenye suti) na Bw. Mashaka Chikoli, Afisa kutoka Idara ya Sera na Mipango.Balozi Gamaha akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Maafisa Wakuu 35 kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini (South African National Defence College – NDC), wametembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Septemba 30, 2014 kwa lengo la kujifunza kuhusu Sera ya Tanzania kuhusu vyanzo vya nishati nchini hususan mafuta, gesi, makaa ya mawe na uvumbuzi wa madini mengine na changamoto zake.
Maafisa hao waliongozwa na Mkuu wa Chuo Brigedia Jenerali G.M. Yekelo pamoja na Maafisa kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

MHANDISI EDWIN NGONYANI ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

????????????????????????????????????Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (kushoto) akisaini kitabu  cha wageni kwenye banda la Wizara ya Nishati na Madini.????????????????????????????????????Mtaalam kutoka Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC), Jumanne  Shimba ( wa kwanza kulia) akimwonesha Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (katikati)  moja ya  bidhaa zinazotengenezwa na  kituo hicho, kwenye  banda la Wizara ya Nishati na Madini????????????????????????????????????Afisa Uhusiano kutoka Wakala wa Ukaguzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIKatika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA STAMICO ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto mwenye suti ya kijivu) akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa Wizara ya Nishati na Madini, Habas Ngulilapi mara baada ya kuwasili kwenye banda hilo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani