WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUNG'ARA KWENYE MAONESHO YA SABASABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-auzujmgkbDQ/U7hQyr0u0QI/AAAAAAAFvPQ/EkAwtEDcLZ8/s72-c/unnamed+(59).jpg)
Mtaalamu kutoka Tanzania Gemmological Centre (TGC) Bw. Prosper Tingo akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la TANSORT
Baadhi ya washiriki kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na kampuni ya Max- Malipo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa maonesho
Mjiolojia kutoka Idara ya Nishati Bw. Habass Ng’ulilapi akielezea sera ya nishati kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania