MH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA BADEA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Fedha Saada Mkuya (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya mazungumzo kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahm Hassan Naq,Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
Pinda akutana na viongozi wa benki ya BADEA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya kukutana nao kwenye Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kushoto) akiteta na Kiongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) , Abdulrahm Hassan Naq baada ya mazungumzo kati ya Waziri Mkuu,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BAT8hKi3kYs/VEevtQFsOPI/AAAAAAAGsrI/4ZgikwDM7gM/s72-c/unnamed%2B(87).jpg)
BALOZI KAMALA AKUTANA VIONGOZI WAANDAMIZI WA BENKI BENKI YA BNP PARIBAS
![](http://1.bp.blogspot.com/-BAT8hKi3kYs/VEevtQFsOPI/AAAAAAAGsrI/4ZgikwDM7gM/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Pinda akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya...
11 years ago
Dewji Blog23 May
Pinda akutana na viongozi wa Lions Club
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwashukuru viongozi wa Club ya Lions Clubs International baada ya kutunkiwa Medali ya juu ya Uongozi ya Club...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TBLpmmPD9AY/VUD6BESQ4eI/AAAAAAAHUG8/oIPqze5NHm8/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
MH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BRITISH AMERICAN TOBACCO
![](http://3.bp.blogspot.com/-TBLpmmPD9AY/VUD6BESQ4eI/AAAAAAAHUG8/oIPqze5NHm8/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-592uHvTIlyI/VUD6B39I-KI/AAAAAAAHUHA/me-g7R2yH1w/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
11 years ago
MichuziMH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA MAKAMPUNI YA SOMITO NA CITI BANK
![](http://2.bp.blogspot.com/-ujFqJ7_rRgY/U8-vyGdlJhI/AAAAAAAF5LU/uEI_Yqzu0Zs/s1600/unnamed+(63).jpg)
11 years ago
Dewji Blog23 Jul
Pinda akutana na viongozi wa makampuni ya Somito na Citi Bank
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Citi Bank ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 23, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi , Dr. Harrison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
MichuziBUNGE LA KATIBA, PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BARRICK GOLD TANZANIA
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA LIONS CLUBS
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan.