Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI KAMALA AKUTANA VIONGOZI WAANDAMIZI WA BENKI BENKI YA BNP PARIBAS

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Benki ya Kimataifa ya BNP PARIBAS baada ya kumaliza kikao nao leo Brussels. Wa kwanza kulia ni Bwana Guy Vandevelde Makamu wa Rais wa Benki hiyo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA ZETES

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Zetes ya Ubelgiji Bwana Stephan Van Hoof (kulia). Kushoto ni Bwana Ronny Depoortere Makamu wa Rais wa kampuni hiyo. Viongozi hao wamemtembelea Balozi Kamala ofisini kwake Brussels kumweleza nia ya kampuni hiyo kuwekeza Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA ASASI YA WERELD MISSIE HULP YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji,Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Asasi ya Wereld Missie Hulp ya Ubelgiji Bwana Wim Smit (wa pili kutoka kushoto). Wa kwanza kulia ni Bi. Ilona Coster Meneja wa Miradi wa asasi hiyo na wa pili kutoka kulia ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi katika Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala amekutana na Uongozi wa Asasi ya Wereld Missie Hulp jijini Antwerpen Ubelgiji leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Djokovic bingwa BNP Paribas Open

Mcheza tenis namba moja duniani kwa upande wa wanaume Novak Djokovic amenyakua ubingwa wa BNP Paribas Open.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA BADEA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Fedha Saada Mkuya (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya mazungumzo kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahm Hassan Naq,Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na viongozi wa benki ya BADEA

PG4A8381

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank  for Economic Development  in Africa (BADEA) baada ya kukutana nao  kwenye Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8386

Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kushoto) akiteta na Kiongozi  wa Benki ya Arab Bank  for Economic Development  in Africa (BADEA) , Abdulrahm Hassan Naq baada ya mazungumzo kati ya Waziri Mkuu,...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks, akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa Jiji la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo...

 

11 years ago

TheCitizen

BNP Paribas fine shows dollar’s key role in global markets

As the world’s reserve currency, the dollar gives Washington a powerful influence over global financial markets -- a point underlined again this week when a record fine was levelled against France’s leading bank.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASHUKURU BENKI YA MAENDELEO YA ULAYA KWA MIKOPO NA MISAADA INAYOITOA KWA NCHI ZA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP)

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akishukuru Benki ya Maendeleo ya Ulaya (EIB) kwa kutoa  mikopo ya gharama nafuu na kusaidia Maendeleo ya nchi za ACP. Balozi Kamala ameitaka Benki hiyo kuongeza kiwango cha mikopo inayotoa katika nchi za ACP kutoka asilimia 10 ya mikopo inayotoa sasa hadi asilimia 20. 
Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP leo imekutana na Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Ulaya, Luxembourg...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi kamala akutana na balozi wa ubelgiji nchini tanzania

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ubelgiji Tanzania Mhe. Adam Koeler (wa pili kutoka kulia) baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya ziara ya wadau  wa sekta za  miundombinu ya bandari, reli na kilimo itakayofanyika Ubelgiji kuanzia tarehe 19-23 Mei, 2014. Kikao kimefanyika nyumbani kwa Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani