Balozi kamala akutana na balozi wa ubelgiji nchini tanzania
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ubelgiji Tanzania Mhe. Adam Koeler (wa pili kutoka kulia) baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya ziara ya wadau wa sekta za miundombinu ya bandari, reli na kilimo itakayofanyika Ubelgiji kuanzia tarehe 19-23 Mei, 2014. Kikao kimefanyika nyumbani kwa Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA GAVANA WA HAINAUT UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika tafrija iliyoandaliwa na Gavana wa Hainaut Mhe. Tommy Leclercq kuwashukuru wadau wa reli na bandari kutoka Tanzania kwa kutembelea Ubelgiji. Mhe. Leclercq ameahidi kushiriki ziara ya Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Ubelgiji watakaotembelea Tanzania mwaka huu.
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiweka sahihi Hati ya Mapokezi ya Hainaut huku Gavana wa Hainaut Mhe. Tommy Luclercq akishuhudia....
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiweka sahihi Hati ya Mapokezi ya Hainaut huku Gavana wa Hainaut Mhe. Tommy Luclercq akishuhudia....
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MEYA WA MANISPAA YA COVVIN UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) amekutana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Covvin ya Ubelgiji Bwana Raymond Douniaux (kulia). Balozi Kamala amemuomba Mhe Meya huyo kutangaza Utalii wa Tanzania na amemkabidhi vifaa ya kutangaza utalii wa Tanzania.
10 years ago
VijimamboBALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN
Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA DELANOUT YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana. Jackson Delanout. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kuhamasisha makampuni ya Ubelgiji kushiriki kwenye ziara ya biashara ya makampuni ya Ubelgiji itakayofanyika Tanzania, Novemba mwaka huu.
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MHARIRI WA JARIDA LA BIASHARA NA UCHUMI LA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya, Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mhariri wa Jarida wa Habari za Uchumi, Biashara na Utalii la Trends baada ya kumaliza mazungumzo Nayeli ofisini kwake Brussels leo. Mhariri huyo atatembelea Tanzania kubainisha fursa za Utalii zinazopatikana Kanda ya Kusini Tanzania.
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU GAVANA WA KANDA YA BRABANT WALONIA YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi zawadi Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Isabelle Kibassa Maliba baada kufanya mazungumzo naye ofisini kwake Wavre Ubelgiji. Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Issable Kibassa Maliba akimkabidhi zawadi Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada kumaliza mazungumzo naye. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kutembelea kanda mbalimbali za Ubelgiji.
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA ASASI YA WERELD MISSIE HULP YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji,Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Asasi ya Wereld Missie Hulp ya Ubelgiji Bwana Wim Smit (wa pili kutoka kushoto). Wa kwanza kulia ni Bi. Ilona Coster Meneja wa Miradi wa asasi hiyo na wa pili kutoka kulia ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi katika Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala amekutana na Uongozi wa Asasi ya Wereld Missie Hulp jijini Antwerpen Ubelgiji leo.
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto). Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni wataalamu katika taasisi hiyo.
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSOMA VYUO VIKUU VYA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu vya Ubelgiji. Balozi Kamala kakutana na Watanzania hao leo hii Ubelgiji- Brussels kushauriana nao masuala mbalimbali ya kitaifa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania