BUNGE LA KATIBA, PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BARRICK GOLD TANZANIA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma Machi 25,2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer ), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masere (kushoto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini
Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...
5 years ago
Nasdaq26 Feb
Stock Alert: Barrick Gold Corp. (GOLD) Shares Hit 52-Week High
11 years ago
TheCitizen07 Aug
Barrick Gold under fire over killings
11 years ago
Dewji Blog23 May
Pinda akutana na viongozi wa Lions Club
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwashukuru viongozi wa Club ya Lions Clubs International baada ya kutunkiwa Medali ya juu ya Uongozi ya Club...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA BADEA
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
Pinda akutana na viongozi wa benki ya BADEA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya kukutana nao kwenye Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kushoto) akiteta na Kiongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) , Abdulrahm Hassan Naq baada ya mazungumzo kati ya Waziri Mkuu,...
11 years ago
Michuzi05 May
11 years ago
TheCitizen21 Jun
Barrick Gold accused of illegal money deals
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TBLpmmPD9AY/VUD6BESQ4eI/AAAAAAAHUG8/oIPqze5NHm8/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
MH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BRITISH AMERICAN TOBACCO
![](http://3.bp.blogspot.com/-TBLpmmPD9AY/VUD6BESQ4eI/AAAAAAAHUG8/oIPqze5NHm8/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-592uHvTIlyI/VUD6B39I-KI/AAAAAAAHUHA/me-g7R2yH1w/s1600/unnamed%2B(36).jpg)