Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA LIONS CLUBS


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwashukuru viongozi wa Club ya Lions Clubs International baada ya kutunkiwa Medali ya juu ya Uongozi ya Club hiyo na Gavana wa Lions Clubs...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA LIONS CLUB

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa kwa  viongozi wa Lions Club kabla ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika picha ya pamoja na viongozi wa Lions Club kabla ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam  Mei 9, 2015.  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA LIONS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam  Me 9, 2015. Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea   na viongozi wa Lions Club  baada ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana . Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA SCHLUMBERGER

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa kampuni ya Schlumberger Kanda ya Afrika na Ulaya, Bibi Catherine MacGregor kabla ya mazungumzo yao, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, mjini Dodoma Februari 26,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini  Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi. Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto), Mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano ili kuzungumza na Watanzania waishio Reading Julai 10, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira kutoka kwa Watanzania waishio Reading nchini Uingereza  kabla ya kuzungumza nao Julai  10, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti wa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam. Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka  Kumtengenezea Waziri Mkuu  jana jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuumjini Dodoma Machi 12, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014. Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani