WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA LIONS CLUB
![](http://3.bp.blogspot.com/-2tmd1l9org4/VU6tY0H52AI/AAAAAAAHWeU/PneNG5q5Tmk/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa kwa viongozi wa Lions Club kabla ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika picha ya pamoja na viongozi wa Lions Club kabla ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zVremfb0_ms/VU6tZTSLQwI/AAAAAAAHWec/aHl_gSc0NEM/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA LIONS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-zVremfb0_ms/VU6tZTSLQwI/AAAAAAAHWec/aHl_gSc0NEM/s640/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gBOVv9T6VTE/VU6taFReySI/AAAAAAAHWew/hKbZ08cq_og/s640/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-upQ8q7tB5U4/VU6tdehUttI/AAAAAAAHWfM/NYguzpbp7Qc/s640/unnamed%2B(7).jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 May
Pinda afungua kongamano la Lions Club
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Me 9, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini...
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA LIONS CLUBS
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan.
11 years ago
Dewji Blog23 Jul
Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa BRN
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi, Bashir Mrindoko.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA TAKWIMU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BHoGpTigQJo/VAB_z9fONDI/AAAAAAAGT0c/1ThdQg81Pe4/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-BHoGpTigQJo/VAB_z9fONDI/AAAAAAAGT0c/1ThdQg81Pe4/s1600/unnamed%2B(64).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--x9B1wA6kY0/VAB_1o_HddI/AAAAAAAGT0w/sa97IT-f8KE/s1600/unnamed%2B(65).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RCWpbK4uVSA/VW2lUIiqTTI/AAAAAAAHbSQ/nbLeNhukMLY/s72-c/MMGL0603.jpg)
WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-RCWpbK4uVSA/VW2lUIiqTTI/AAAAAAAHbSQ/nbLeNhukMLY/s640/MMGL0603.jpg)
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa hotuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mh. Pinda awewasihi wasomi nchini pamoja na watanzania kuacha fikra ya kusubiri kuajiriwa mara wanapomaliza vyuo badala yake wajiajiri wenyewe ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha.
![](http://4.bp.blogspot.com/-VlTEULL8IKs/VW2j7TY_3qI/AAAAAAAHbQQ/MSea8ArqUQw/s640/MMGL0325.jpg)
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NEq67U-Shrw/Vl2x1s8koNI/AAAAAAAIJkI/KCOpMXXtOyM/s72-c/China%2BCulture%2BCentre%2B01.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AFUNGUA KITUO CHA UTAMADUNI WA CHINA NCHINI TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-NEq67U-Shrw/Vl2x1s8koNI/AAAAAAAIJkI/KCOpMXXtOyM/s640/China%2BCulture%2BCentre%2B01.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-hjzYntxfzjM/Vl2x2ieiLII/AAAAAAAIJkc/vA1c0FkGiew/s640/China%2BCulture%2BCentre%2B04.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s72-c/unnamed+(3).jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-00Yq2ceBxJQ/UwjJgcK41uI/AAAAAAAFOtQ/HyZ92DHFCxg/s1600/unnamed+(4).jpg)