utiaji saini Mkataba wa uendelezaji wa Ujenzi wa Jengo la Upasuaji katika Hospitali ya Micheweni, pemba
![](http://4.bp.blogspot.com/-LQLUuv4nN68/VRMkNcxpyxI/AAAAAAAHNQM/WNt2Z29n3Fw/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kutoa ajira maalum kwa Watendaji wa Sekta ya Afya watakaotoa huduma za afya Kisiwani Pemba ili kujaribu kuondosha tatizo la uhaba wa watendaji wa sekta hiyo. Alisema mpango huo utakuwa wazi na kutangazwa kwa watendaji wenye sifa za kufanya kazi hiyo watakuwa huru kuomba nafasi hizo na yule atakayeamua kutumia fursa hiyo kwakufanya ujanja wa kuchukuwa uhamisho kufanya kazi unguja atambue...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-06r-NlC07v0/U3-V457yesI/AAAAAAAFkpA/3FsmODoAht4/s72-c/unnamed+(2).jpg)
CHINA YATILIANA SAINI UJENZI WA HOSPITALI YA ABDULLA MZEE PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-06r-NlC07v0/U3-V457yesI/AAAAAAAFkpA/3FsmODoAht4/s1600/unnamed+(2).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-35cHDA50h1I/U3-V42MihBI/AAAAAAAFko0/3bTk794VSOw/s1600/unnamed+(3).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uF85qbjzGCA/VNpXv6zzwEI/AAAAAAAHC84/757oMQQM-r0/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
JK afungua jengo la upasuaji katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro
![](http://2.bp.blogspot.com/-uF85qbjzGCA/VNpXv6zzwEI/AAAAAAAHC84/757oMQQM-r0/s1600/unnamed%2B(43).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-a5DvjMTLQFM/VNpXx_oRX2I/AAAAAAAHC9A/QvnrixvRENM/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
10 years ago
Vijimambo22 Apr
UTIAJI SAINI MANUNUZI YA ENEO LA OFISI KWENYE JENGO LA MOROCCO SQUARE KATI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM
![hc1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc1.jpg)
![hc2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc1.jpg)
UTIAJI SAINI MANUNUZI YA ENEO LA OFISI KWENYE JENGO LA MOROCCO SQUARE KATI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo22 Jan
UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUKIUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F2.bp.blogspot.com%2F-wWcLkGh8qCs%2FVMElE0BZ4kI%2FAAAAAAAArWQ%2FacOaNzdf1IM%2Fs1600%2Fsp%252B(1).jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Michuzi22 Apr
NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM ZATILIANA SAINI MKATABA WA MANUNUZI YA ENEO LA OFISI JENGO LA MOROCCO SQUARE
![hc1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc1.jpg)
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii)
![hc2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc2.jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 May
Kinana aunguruma Sikonge — Tabora na kukagua ujenzi wa jengo la upasuaji
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mgambo kitongoji cha Lukula kata ya Kitunda wilayani Sikonge mkani Tabora ambapo aliwaomba radhi wakulima wa Tumbaku kwa kadhia waliyo nayo kutokana na kunyonywa na kutopata haki zao za malipo kwa miaka 3.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mbunge wa Jimbo la Sikonge Said Mkumba wakiwasomea wananchi wa kijiji cha Lukula maeneo yatakayopata umeme mwaka huu katika wilaya ya Sikonge.
Mbunge wa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-R0sNfTmw3dI/Ve-4BsHZyoI/AAAAAAAH3dw/Y_d5PPQR1GU/s72-c/20150908_132305.jpg)
MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA ND.JABU KHAMIS MTWANA YALIYOFANYIKA JANA KIJINI KWAO WILAYA YA MICHEWENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-R0sNfTmw3dI/Ve-4BsHZyoI/AAAAAAAH3dw/Y_d5PPQR1GU/s640/20150908_132305.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5b0YyqV1U-E/Ve-4CCnDPTI/AAAAAAAH3d0/oDTE1ESmB3c/s640/20150908_132856.jpg)