Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana aunguruma Sikonge — Tabora na kukagua ujenzi wa jengo la upasuaji

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mgambo kitongoji cha Lukula  kata ya Kitunda wilayani Sikonge mkani Tabora ambapo aliwaomba radhi wakulima wa Tumbaku kwa kadhia waliyo nayo kutokana na kunyonywa na kutopata haki zao za malipo kwa miaka 3.

unnamed (1)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mbunge wa Jimbo la Sikonge Said Mkumba wakiwasomea wananchi wa kijiji cha Lukula maeneo yatakayopata umeme mwaka huu katika wilaya ya Sikonge.

unnamed (2)

Mbunge wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kinana ziarani Sikonge Tabora

-Asema Vijana wa Pathfinders Green City ni mfano wa kuigwa.

-Awataka wilaya zingine nchi kuiga mfano huo kwani utasaidia sana katika kuharakisha maendeleo kwa vijana,kuwajenga katika misingi bora ya mshikamano

unnamed

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa taji la maua wakati wa mapokezi alipowasili kwenye Kata ya Pangale wilaya ya Sikonge mkoani Tabora ambapo anategemewa kufanya ziara ya siku 2 katika wilaya ya Sikonge.

unnamed (1)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akikaribishwa...

 

10 years ago

Michuzi

utiaji saini Mkataba wa uendelezaji wa Ujenzi wa Jengo la Upasuaji katika Hospitali ya Micheweni, pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kutoa ajira maalum kwa Watendaji wa Sekta ya Afya watakaotoa huduma za afya Kisiwani Pemba ili kujaribu kuondosha tatizo la uhaba wa watendaji wa sekta hiyo.  Alisema mpango huo utakuwa wazi na kutangazwa kwa watendaji wenye sifa za kufanya kazi hiyo watakuwa huru kuomba nafasi hizo na yule atakayeamua kutumia fursa hiyo kwakufanya ujanja wa kuchukuwa uhamisho kufanya kazi unguja atambue...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI UYUI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Ufuluma wilaya ya Uyui  ambapo aliwaambia wananchi hao Kilimo cha Tumbaku kiondoe umasikini na si kuongeza umasikini kwa mkulima. ======  ====== ===== Wakulima wa Tumbaku kata ya Ufuluma wamelalamikia kulazimishwa na viongozi wa vyama vya ushirika kuuza tumbaku yao katika vyama hivyo ,hata kama sio wanachama,na pia kutolipwa fedha zao kwa wakati.Kinana amewataka wakulima hao kutokukubali kusumbuliwa kuuza tumbaku yao...

 

11 years ago

Michuzi

madaktari walalamikia kutokamilika kwa miradi ya ujenzi vituo vya afya kwa wakati,wakulima wa tumbaku waangusha kilio chao mbele ya Kinana wilayani sikonge

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la upasuaji na Dk.Sylvanus Kabutura Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya cha Kata ya Kitunda wilayani Sikonge,Daktari Kabutura  alimueleza Katibu Mkuu wa CCM changamoto kubwa uhaba wa maji katika kituo hicho,na pia kutokamilika kwa jengo kubwa la huduma za upasuaji na huduma nyingine zaidi ya mwaka,jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana hakufurahishwa nalo,kwani kumekuwepo na malalamiko makubwa kutoka kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MH MBOWE SIKONGE, TABORA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), FreemanMbowe akiwapungia mkono wananchi wa Sikonge mkoani Tabora, mara baadaya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyikakwenye Uwanja wa Mission juzi.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), FreemanMbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kigwa wilayani Uyui mkoaniTabora, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM juzi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), FreemanMbowe...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda akataa kukagua jengo la zahanati

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, jana alikataa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze katika Manispaa ya Dodoma, alipofanya ziara ya miradi ya maendeleo ya manispaa. Kwa mujibu wa ratiba...

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA

Baadhi ya bidhaa zilizoteketezwa na Maofisa wakaguzi wa TFDA wilayani Sikonge.Maofisa wakaguzi wa TFDA kanda ya kati wakijiandaa kuteketeza bidhaa zilizoisha mda wake ikiwemo vinywaji wilayani Sikonge (picha na Allan Ntana).
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani