Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YAINGIA MKATABA NA EAG

Aveva akizungumza jambo katika hoteli ya Southern Sand kuhusu mkataba na EAG Group. Rais wa Simba, Evans Aveva (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group, Iman Kajula (katikati) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Jasmine Badar Soud wakati wa hafla ya kutangaza mkataba.  Aveva na Kajula.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Simba yaingia mkataba na Majabvi

KLABU ya Simba imemsainisha kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Zimbabwe, Justice Majabvi, mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu hiyo inayojiandaa kushiriki msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katomu Solar yaingia mkataba na Jumuiya ya Ulaya

KAMPUNI ya umeme wa jua (solar) nchini ya Katomu Investment Ltd, imeingia mkataba na nchi mbalimbali zinazounda Jumuiya ya Ulaya (EU) ili kuachana na masoko ya bidhaa feki yaliyotapakaa mahali...

 

10 years ago

Michuzi

BOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Masia Mushi, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa pamoja na Kampuni ya Kimataifa ya Uendelezaji wa Ardhi ya AVIC, kuhusu mradi mkubwa wa mikopo nafuu ya nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo, zilizopo eneo la Somangira, Kigamboni jijini Dar es Salaam, ambao utawanufaisha watanzania hususani wateja wa benki ya BOA, ambao ulisainiwa rasmi jana. Katikati ni Naibu...

 

10 years ago

Vijimambo

AIRTEL YAINGIA MKATABA NA FINCA WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA

 Meneja Mahusiano wa Kampuni ya simu ya Airtel, Jackson Mmbando (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu ushirikiano wa Airtel na Finca kutoa huduma za kifedha. Kutoka kulia ni , Vivian Temi na Meneja wa Huduma ya Airtel Money, Stephen Kimea.
 Meneja wa Huduma ya Airtel Money, Stephen Kimea (wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu huduma hiyo. Kulia ni Msimamizi Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya Finca Microfinance, Vivian...

 

9 years ago

StarTV

Gerefa yaingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha Suleiman Matola.

 

Hatimaye Chama Cha Mpira Mkoa wa Geita Gerefa kimeingia mkataba na Suleiman Matola kuwa kocha Mkuu wa Timu hiyo kwa lengo la kuhakikisha anainoa ipasavyo kwa lengo la kuhakikisha inapanda daraja ambapo kwa sasa timu ya Geita Gold Sports ipo katika ligi  daraja la Kwanza Tanzania Bara.

Mwenyekiti wa Chamacha Gerefa Salum Kulunge amesema kocha Matola kwa uwezo alionao wa ufundishaji na mafanikia aliyonayo katika kuinua mchezo wa soka huku akiwaana leseni kubwa ya ufundishaji wa soka hapa...

 

9 years ago

Michuzi

STAR TV YAINGIA MKATABA NA TFF KUONYESHA Ligi Daraja la Kwanza (FDL)

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo ya Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL)Akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba huo, Rais wa TFF Jamal Malinzi aliishukuru kampuni ya Sahara Media Group kwa kuamua kuwekeza katika mpira wa miguu nchini kwa kuamua kuonyesha ligi daraja la kwanza.Malinzi ameviomba vilabu vya FDL kutumia...

 

11 years ago

Michuzi

TIC YAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki (wa pili kushoto) akisaini Mikataba ya Makubaliano ya Uwekezaji na Wakuu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa,wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo (wa pili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Mh. Yohana Balele (kushoto).Wanaoshuhudia ni Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Abdallah Kigoda pamoja na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),Mh. Aggrey Mwanri.na Kulia ni Mwenyekiti wa Kongamano la...

 

10 years ago

Vijimambo

SUKY CLASSIC BOUTIQUE YAINGIA MKATABA NA MEDO KUSAIDIA UTOAJI WA ELIMU MKOANI MOROGORO

 Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe. Mkurugenzi Msaidizi wa Suky Classic Boutique, Kiki Mussa.  Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mkataba huo walioingia na Suky Classic Boutique wa kusaidia elimu nchini

  Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Maendeleo Mkoa wa Morogoro, James Mbaligwe...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba sasa yaingia mchecheto

>Uongozi wa Simba umeanza kuweweseka kutokana na kuchelewa kurudi kwa nyota wake waliokuwa wakiitumikia timu za taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani