Simba yaingia mkataba na Majabvi
KLABU ya Simba imemsainisha kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Zimbabwe, Justice Majabvi, mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu hiyo inayojiandaa kushiriki msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSIMBA YAINGIA MKATABA NA EAG
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Majabvi aiangukia Simba
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MCHEZAJI wa kimataifa wa Simba, Justice Majabvi, ameuomba uongozi wa klabu hiyo kumpa nafasi nyingine ya kuendelea kuichezea timu hiyo katika mechi zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Majabvi ambaye ni raia wa Zimbabwe alitishia kuondoka katika timu hiyo kwa madai kuwa uongozi umeshindwa kumtimizia mahitaji yake ya msingi.
Habari za kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyo zililipasha MTANZANIA jana kuwa, Majabvi aliwapigia simu viongozi wa timu hiyo kuomba...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Simba wamshtukia Majabvi, wamkata mshahara
Kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi.
Wilbert Molandi, Dar es Salaam
KUTISHIA kumtimua haikutosha, uongozi wa Simba umeamua kumkata mshahara wa mwezi huu kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi.
Hiyo ni siku chache tangu kiungo huyo alipoujia juu uongozi wa timu hiyo akilalamikia kutotimiziwa mahitaji yake kwa mujibu wa mkataba tangu ajiunge na Simba, hasa suala la malazi.
Uongozi wa Simba ulikasirishwa na kitendo hicho na kuchukua uamuzi wa kumtimua nyota huyo mwenye...
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Nyota Nibomana, Majabvi wamkuna kocha wa Simba
10 years ago
Mwananchi10 Aug
USAJILI: Yanga, Simba zawatuliza Bossou, Majabvi
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Katomu Solar yaingia mkataba na Jumuiya ya Ulaya
KAMPUNI ya umeme wa jua (solar) nchini ya Katomu Investment Ltd, imeingia mkataba na nchi mbalimbali zinazounda Jumuiya ya Ulaya (EU) ili kuachana na masoko ya bidhaa feki yaliyotapakaa mahali...
10 years ago
MichuziBOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC
10 years ago
VijimamboAIRTEL YAINGIA MKATABA NA FINCA WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
9 years ago
StarTV26 Nov
Gerefa yaingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha Suleiman Matola.
Hatimaye Chama Cha Mpira Mkoa wa Geita Gerefa kimeingia mkataba na Suleiman Matola kuwa kocha Mkuu wa Timu hiyo kwa lengo la kuhakikisha anainoa ipasavyo kwa lengo la kuhakikisha inapanda daraja ambapo kwa sasa timu ya Geita Gold Sports ipo katika ligi daraja la Kwanza Tanzania Bara.
Mwenyekiti wa Chamacha Gerefa Salum Kulunge amesema kocha Matola kwa uwezo alionao wa ufundishaji na mafanikia aliyonayo katika kuinua mchezo wa soka huku akiwaana leseni kubwa ya ufundishaji wa soka hapa...