Nyota Nibomana, Majabvi wamkuna kocha wa Simba
Kocha wa Simba, Dylan Kerr ameonyesha kukunwa na uwezo wa nyota wake wapya wakiwamo beki Mrundi Emiry Nibomana ‘Kadogoo’ na kiungo Mzimbabwe, Justice Majabvi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo23 Dec
TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga …
Mtu wangu wa nguvu najua unashauku ya kutaka kufahamu leo December 23 kuna stori gani katika headlines za soka la Bongo. Huenda ukawa hukupata bahati ya kusoma stori za michezo za magazeti ya leo December 23. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 5 za stori za magazeti ya michezo ya Tanzania. 5- Majabvi amalizana […]
The post TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Nyota wapya kriketi wamkuna Remtullah
CHAMA cha Kriketi Tanzania (TCA) kimesema wachezaji wapya 14 walioteuliwa kuunda kikosi cha timu ya taifa ya mchezo huo kwa vijana wa chini ya miaka 19, wanaendelea vizuri na mazoezi. Akizungumza...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Wachezaji Coastal Union wamkuna Kocha Chipo
KOCHA wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Yusuf Chipo amesema ameridhika na kiwango cha vijana wake baada ya kuwafunga Shaba FC ya Pemba mabao 5-1 katika mechi ya kirafiki...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Majabvi aiangukia Simba
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MCHEZAJI wa kimataifa wa Simba, Justice Majabvi, ameuomba uongozi wa klabu hiyo kumpa nafasi nyingine ya kuendelea kuichezea timu hiyo katika mechi zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Majabvi ambaye ni raia wa Zimbabwe alitishia kuondoka katika timu hiyo kwa madai kuwa uongozi umeshindwa kumtimizia mahitaji yake ya msingi.
Habari za kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyo zililipasha MTANZANIA jana kuwa, Majabvi aliwapigia simu viongozi wa timu hiyo kuomba...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Simba yaingia mkataba na Majabvi
KLABU ya Simba imemsainisha kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Zimbabwe, Justice Majabvi, mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu hiyo inayojiandaa kushiriki msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Simba wamshtukia Majabvi, wamkata mshahara
Kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi.
Wilbert Molandi, Dar es Salaam
KUTISHIA kumtimua haikutosha, uongozi wa Simba umeamua kumkata mshahara wa mwezi huu kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi.
Hiyo ni siku chache tangu kiungo huyo alipoujia juu uongozi wa timu hiyo akilalamikia kutotimiziwa mahitaji yake kwa mujibu wa mkataba tangu ajiunge na Simba, hasa suala la malazi.
Uongozi wa Simba ulikasirishwa na kitendo hicho na kuchukua uamuzi wa kumtimua nyota huyo mwenye...
10 years ago
Mwananchi10 Aug
USAJILI: Yanga, Simba zawatuliza Bossou, Majabvi
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhmCEeup0IzIzVo3cbHr9*qj*GGF8yQr3fOfe7gPIHcKaPvPy0oI3SyKFP4jgFiuE9teXtAPKMRaJUM83r1JzGXJ/nyota.jpg?width=600)
Nyota 9 wayeyuka mazoezini Simba