Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanacheza na Mbeya City leo kwenye Uwanja wa Sokoine, lakini kocha wao mkuu, Hans Pluijm amewaambia vijana wake ili mchezo huo uwe na manufaa kwao, waache na utovu wa nidhamu, wasiwaige wapinzani wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Hans Pluijm: Nimesajili wenye nidhamu Yanga

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ameeleza licha ya kusajili wachezaji bora katika kikosi chake, lakini pia nyota wake hao wana nidhamu ya hali ya juu hali inayomfanya aone hakuna cha kuizuia
Yanga kutwaa ubingwa na kufanya vizuri michuano ya kimataifa.

Mholanzi huyo alisema ubora wa kikosi chake na nidhamu ndiyo sifa kubwa itakayoiwezesha timu hiyo kufanya vizuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema anaamini ubora wa kikosi chake na...

 

10 years ago

Mwananchi

Pluijm awaonya nyota Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amewaambia wachezaji wake wakizingua na yeye atawazingua, kwani hakuna mwenye namba ya kudumu ndani ya kikosi hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm kustaafia Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm yupo mbioni kusaini mkataba mpya na mabingwa hao na kumalizia maisha yake ya ukocha hapa nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Kocha Pluijm aahidi makubwa Yanga

IMG_3892

 

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM,

KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, ameanza kwa mbwembwe kibarua chake baada ya kuahidi makubwa, huku akidai atahakikisha anarudisha soka la kuvutia na la ushindi ili kuwapa raha wapenzi wa timu hiyo.
Pluijm amerejeshwa kwenye timu hiyo aliyoinoa msimu uliopita baada ya kutimuliwa kwa makocha, Marcio Maximo na msaidizi wake, Leonardo Neiva, ambao wote ni kutoka Brazil.

Mholanzi huyo juzi alianza kibarua cha kuinoa timu hiyo kwenye Uwanja wa Shule...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm apangua kikosi Yanga

Mbio za ubingwa zimemfanya kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm kufumua kikosi chake akidai hatavumilia mchezaji atakayeonyesha kiwango kibovu hata kama ni nyota kwa kiasi gani.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm amrudisha Yondani kikosini Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amelazimika kumrudisha kundini haraka beki wake Kelvin Yondani kutokana na kikosi chake kukumbwa na uhaba wa mabeki wa kati.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Pluijm aunga mkono Niyonzima kutimuliwa Yanga

SIKU moja baada ya Yanga kusitisha mkataba wake na Haruna Niyonzima, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm ameibuka na kusema alikwishamuondoa kiungo huyo kwenye mipango yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah ataka majibu kuhusu kocha wake

Mwanariadha Mo Farah wa Uingereza amekasirishwa na hatua ya kulitia jina lake katika matope na sasa anataka majibu kufuatia madai yanayomuhusisha kocha wake Alberto Salazar na dawa za kusisimua misuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani