Pluijm awaonya nyota Yanga
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amewaambia wachezaji wake wakizingua na yeye atawazingua, kwani hakuna mwenye namba ya kudumu ndani ya kikosi hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga
10 years ago
Mtanzania05 May
Kuelekea Ligi ya Mabingwa Pluijm amulika nyota A/Magharibi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga sasa akili zao zote ni kujipanga kwa Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani, inaelezwa tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amewamulika baadhi ya wachezaji nyota kutoka Afrika Magharibi ili kuwasajili.
Katika mpango huo wa Mholanzi, inadaiwa ametamanishwa na wachezaji wawili kutoka Ghana, ambao anafikiria kuwanasa kwa msimu ujao ili kuipa makali zaidi Yanga ambayo msimu huu imeishia raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kutolewa na...
10 years ago
Mtanzania28 May
Pluijm ashtuka Yanga
JENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo Mholanzi, Hans Van der Pluijm, amewashtukia viongozi wa timu hiyo akieleza anahisi baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hadi sasa hakuwapendekeza katika ripoti yake.
Klabu hiyo hadi sasa imefanikiwa kupata saini za wachezaji watatu ambao ni Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City, Haji Mwinyi wa Zanzibar na Benedicto Tinoco kutoka Kagera...
9 years ago
Habarileo05 Nov
Pluijm: Yanga bingwa
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.
11 years ago
Mwananchi17 May
Pluijm mwanachama hai Yanga
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Pluijm achoka na uteja Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, amesema kama ataendelea kukinoa kikosi hicho, anaamini atafuta uteja wa kufungwa na watani wao wa jadi, Simba, ambao mara yao ya mwisho kuwafunga katika ligi ilikuwa msimu wa 2012/ 2013.
Yanga, ikiwa inanolewa na kocha Mholanzi, Ernest Brandts, iliibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Simba Mei 19, 2013, huku Wanajangwani hao wakiweza kuibuka mabingwa wa msimu huo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, baada ya kufungwa bao...
11 years ago
Mwananchi27 May
Pluijm adai mshahara Yanga
10 years ago
TheCitizen17 Dec
SOCCER: Pluijm in, Maximo out at Yanga
10 years ago
Mtanzania16 May
Pluijm ambakisha Msuva Yanga
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amembakisha winga Simon Msuva kwenye timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi, ili kumtengeneza vyema kabla ya kutimkia Afrika Kusini.
Wiki iliyopita Msuva alikwenda kufanya majaribio katika timu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, ambapo baada ya kurejea nchini ilielezwa amefaulu majaribio hayo.
Pluijm, aliyeongozana na Meneja wa timu hiyo, Hafidh Saleh, walifanya ziara maalumu kwenye Ofisi za Kampuni ya New Habari...