Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuelekea Ligi ya Mabingwa Pluijm amulika nyota A/Magharibi

yangaNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KLABU ya Yanga sasa akili zao zote ni kujipanga kwa Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani, inaelezwa tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amewamulika baadhi ya wachezaji nyota kutoka Afrika Magharibi ili kuwasajili.

Katika mpango huo wa Mholanzi, inadaiwa ametamanishwa na wachezaji wawili kutoka Ghana, ambao anafikiria kuwanasa kwa msimu ujao ili kuipa makali zaidi Yanga ambayo msimu huu imeishia raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kutolewa na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nyota walioshindwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mafanikio ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yapo mbali kwa Zlatan Ibrahimovic, licha ya kucheza Barcelaon, Inter, Juventus, Milan na sasa PSG.

 

10 years ago

Mwananchi

Pluijm awaonya nyota Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amewaambia wachezaji wake wakizingua na yeye atawazingua, kwani hakuna mwenye namba ya kudumu ndani ya kikosi hicho.

 

10 years ago

Michuzi

TABORA WAZINDUA KAMPENI YA NYOTA YA KIJANI KANDA YA MAGHARIBI

Baadhi ya wananchi wa wadau wa Afya wakifanya maandamano wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya NYOTA YA KIJANI uliofanyika eneo la kumbukumbu ya Mwl.Nyerere Tabora mjini. Mmoja kati ya maafisa kutoka Wizara ya Afya Bi.Isabela Nyalusi akisoma taarifa fupi ya hali ya matumizi ya Uzazi wa Mpango kwa kanda ya Magharibi ambapo inaonesha kuwa mikoa ya kanda ya magharibi ina kiwango kidogo cha utumiaji wa huduma za uzazi wa mpango kwa asilimia 19 ikilinganishwa na mikoa ya kanda ya kaskazini yenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanacheza na Mbeya City leo kwenye Uwanja wa Sokoine, lakini kocha wao mkuu, Hans Pluijm amewaambia vijana wake ili mchezo huo uwe na manufaa kwao, waache na utovu wa nidhamu, wasiwaige wapinzani wao.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya mkoa wa Unguja Magharibi ya Magomeni, Mji Mkongwe, Mpendae na Rahaleo

Magomeni ni kati ya majimbo yaliyoweka rekodi ya juu ya ushindani wa kisiasa mwaka 1995 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Chama Cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) viliingia kwenye vita kubwa vikisindikizwa na vyama vingine vitano ambavyo ni TPP, Tadea, NRA, UDP na Chadema.

 

10 years ago

Habarileo

Pluijm hofu kusimama ligi

KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema wamewapa wachezaji wake mapumziko ya wiki mbili kabla ya kuanza maandalizi ya mechi za Ligi Kuu inayotarajia kuendelea tena Desemba 12 mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Pluijm azikamia pointi 63 Ligi Kuu

6009KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van der Pluijm, amesema watatimiza mipango ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kushinda mechi zote 21 zilizobaki, sawa na pointi 63.

Yanga, yenye pointi 23 katika nafasi ya pili, imeshushwa kileleni na Azam FC iliyofikisha pointi 25 kwenye msimamo wa ligi, huku timu zote zikiwa hazijapoteza mchezo wowote hadi sasa katika mechi tisa  walizocheza.

Kwa sasa ligi imesimama kupisha usajili wa dirisha dogo utakaofunguliwa Novemba 15,...

 

11 years ago

GPL

Loga, Pluijm wasimamishwa kufundisha ligi kuu

Kocha mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic. Na Sweetbert Lukonge
CHAMA cha Makocha Tanzania (Tafca), kimesema makocha wa kigeni wakiwemo wale wa Simba na Yanga, hawatakaa kwenye mabenchi ya timu zao wakati wa Ligi Kuu Tanzania Bara.…

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm aitega Mgambo Shooting Ligi Kuu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema Mgambo JKT si timu ya kudharau kwa kuona ni timu ndogo, kwani imekuwa ikifanya vizuri kwa kuwapa upinzani mkali kila wanapokutana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani