Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TABORA WAZINDUA KAMPENI YA NYOTA YA KIJANI KANDA YA MAGHARIBI

Baadhi ya wananchi wa wadau wa Afya wakifanya maandamano wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya NYOTA YA KIJANI uliofanyika eneo la kumbukumbu ya Mwl.Nyerere Tabora mjini. Mmoja kati ya maafisa kutoka Wizara ya Afya Bi.Isabela Nyalusi akisoma taarifa fupi ya hali ya matumizi ya Uzazi wa Mpango kwa kanda ya Magharibi ambapo inaonesha kuwa mikoa ya kanda ya magharibi ina kiwango kidogo cha utumiaji wa huduma za uzazi wa mpango kwa asilimia 19 ikilinganishwa na mikoa ya kanda ya kaskazini yenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kuelekea Ligi ya Mabingwa Pluijm amulika nyota A/Magharibi

yangaNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KLABU ya Yanga sasa akili zao zote ni kujipanga kwa Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani, inaelezwa tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amewamulika baadhi ya wachezaji nyota kutoka Afrika Magharibi ili kuwasajili.

Katika mpango huo wa Mholanzi, inadaiwa ametamanishwa na wachezaji wawili kutoka Ghana, ambao anafikiria kuwanasa kwa msimu ujao ili kuipa makali zaidi Yanga ambayo msimu huu imeishia raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kutolewa na...

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA MAGHARIBI ASHAMBULIWA

Makamu Mwenyekiti Uenezi CHADEMA, Kanda ya Magharibi, Deogratius Liyunga akiwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana (Picha na Editha Karlo). Na Editha Karlo, Kigoma
WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyekiti wa uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti mipaka 53 isiyo rasmi Kanda ya Magharibi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya Shirika la Viwango (TBS) Kanda ya Magharibi itakayohudumia mikoa ya Kigoma,Katavi na Rukwa.Hafla hiyo imefanyika Mjini Kigoma.

***********************************

Na Mwandishi Wetu- TBS

Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Wizara nyingine zitadhibiti mipaka isiyo rasmi 53 katika mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa ili kukabiliana na changamoto ya uingizaji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kanda ya Kaskazini wazindua siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiserikali la NAFGEM,Honorata Nasuwa akizungumza na wanahabari(hawako pichani ) juu ya uzinduzi huo,kushoto kwake ni Afisa Ushawishi na utetezi (KWIECO) na Mratibu wa maadhimisho hayo kanda,Hilary Tesha. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini. Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro...

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani Tanzania wazindua kampeni

Mgombea urais wa Muungano wa upinzani unaoitwa UKAWA nchini Tanzania Edward Lowassa leo amezindua kampeni za kugombea urais wa nchi hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Ukawa Morogoro wazindua kampeni

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Jimbo la Morogoro Mjini vimezindua kampeni zao kwa kumnadi mgombea wa ubunge kupitia Chadema, Marcossy Albanie pamoja na wagombea wa udiwani kwa kata 29.

 

10 years ago

Habarileo

NBC wazindua kampeni wateja kushinda gari

BENKI ya NBC imezindua kampeni inawowapa wateja wa benki hiyo nafasi ya kuweka akiba na kujishindia gari aina ya Nissan Double Cabin Pick up.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema Kawe, Ilala, Ukonga wazindua kampeni

Wabunge wanaowania majimbo ya Kawe, Ukonga na Ilala kwa chama cha Chadema, wamezindua kampeni zao jana, huku wagombea wakijinasibu kwa ahadi mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani