Pluijm hofu kusimama ligi
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema wamewapa wachezaji wake mapumziko ya wiki mbili kabla ya kuanza maandalizi ya mechi za Ligi Kuu inayotarajia kuendelea tena Desemba 12 mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Pluijm azikamia pointi 63 Ligi Kuu
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van der Pluijm, amesema watatimiza mipango ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kushinda mechi zote 21 zilizobaki, sawa na pointi 63.
Yanga, yenye pointi 23 katika nafasi ya pili, imeshushwa kileleni na Azam FC iliyofikisha pointi 25 kwenye msimamo wa ligi, huku timu zote zikiwa hazijapoteza mchezo wowote hadi sasa katika mechi tisa walizocheza.
Kwa sasa ligi imesimama kupisha usajili wa dirisha dogo utakaofunguliwa Novemba 15,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I-Wq0P4fNHcSwxqZoNcYnMuaewg*JnqtJbCYcLaxsVElCj-zFyurkfXRyzV-cS3Q6Xx33SedzeUaUHraaXJrbs/loga.gif?width=650)
Loga, Pluijm wasimamishwa kufundisha ligi kuu
9 years ago
Habarileo06 Dec
Pluijm aitega Mgambo Shooting Ligi Kuu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema Mgambo JKT si timu ya kudharau kwa kuona ni timu ndogo, kwani imekuwa ikifanya vizuri kwa kuwapa upinzani mkali kila wanapokutana.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fO-4U_teXWE/XsizJlEi4OI/AAAAAAALrWg/A5M-MoH9hvsWI_wEovi04f5qTz5AQGf-wCLcBGAsYHQ/s72-c/pic%252Bsimba.jpg)
BAADA YA LIGI KUU KUSIMAMA KWA SIKU 66, SASA TUKUTANE TENA KWA MKAPA,UHURU NA CHAMAZI...TULILIMISI SOKA LETU BHANA
ZIKIWA zimetimia Siku 66 toka kusimamishwa kwa Michezo mbalimbali ikiwemo soka sasa inatarajiwa kuanza mapema Mwezi Juni wadau wameendelea kujiuliza je Viwango vya wachezaji vitarejea kama awali.
Ikumbukwe kuwa Shughuli zote za kijamii ikiwemo mikusanyiko ilisimamishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kutokana na janga la Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
10 years ago
Mtanzania05 May
Kuelekea Ligi ya Mabingwa Pluijm amulika nyota A/Magharibi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga sasa akili zao zote ni kujipanga kwa Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani, inaelezwa tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amewamulika baadhi ya wachezaji nyota kutoka Afrika Magharibi ili kuwasajili.
Katika mpango huo wa Mholanzi, inadaiwa ametamanishwa na wachezaji wawili kutoka Ghana, ambao anafikiria kuwanasa kwa msimu ujao ili kuipa makali zaidi Yanga ambayo msimu huu imeishia raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kutolewa na...
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Tambwe apata hofu Ligi Kuu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_RJ0uWxHV6s/XuC9GztmGmI/AAAAAAALtVM/YQIlUtXEPv464sW1ECOH5taZSIHqjOCeQCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
DIWANI AAPA KUSIMAMA NA MAGUFULI.
NA DENIS MLOWE, IRINGA
DIWANI wa Kata ya Mwangata iliyoko Manispaa ya Iringa,Nguvu Chengula ameapa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Rais John Pombe Magufuri anashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa 2020 unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa Boma, Chengula alisema kuwa atatumia jitihada zote pamoja na Mali anazomiliki kuhakikisha CCM inashinda chini ya Rais Magufuli kwa kutoa magari ya kampeni na vipaza sauti...
11 years ago
Mwananchi23 May
Walipinga Bunge la Katiba kusimama