Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe apata hofu Ligi Kuu

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe amesema itamwia vigumu kuibuka kinara wa upachikaji mabao kama waamuzi wataendelea kuchezesha vibaya kwenye Ligi Kuu Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

LIGI KUU: Tambwe aipaisha Yanga, Simba yashikwa

Baada ya ukame wa mabao katika michezo miwili mfululizo, mshambuliaji Amissi Tambwe jana alifunga mabao matatu ‘hat trick’ ya kwanza msimu huu na kuisaidia Yanga kupata ushindi  mnono wa mabao 4-0 na kuendelea kuongoza ligi kwa kufikisha pointi 30.

 

9 years ago

MillardAyo

Stand United wakutana na kipigo cha hat-trick ya Tambwe, cheki matokeo ya Ligi Kuu December 19 (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 19 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania. Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Dar Es Salaam Young African waliwakaribisha Stand United chama la wana kucheza mchezo wao wa 12 wa Ligi. Mchezo ulianza kwa Yanga kumiliki […]

The post Stand United wakutana na kipigo cha hat-trick ya Tambwe, cheki matokeo ya Ligi Kuu December 19 (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

GPL

Tambwe apata kashfa

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiwania mpira na beki wa Simba, Juuko Murshid.
Mwandishi Wetu
Dar es SalaamYALE mambo ya kudhalilishana sasa yanaonekana kuendelea kushika kasi baada ya mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe kunaswa na kamera ‘noumaa’ za gazeti la Championi akimdhalilisha beki wa Simba, Juuko Murshid. Tambwe raia wa Burundi amenaswa akimvuta kwa makusudi sehemu za siri beki huyo ambaye...

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

11 years ago

GPL

Majeruhi yamliza Loga, apata hofu

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amefunguka kuwa, anahofia kikosi chake kupata majeruhi katika kipindi hiki cha lala salama kwani watamharibia mipango yake. Simba ipo nafasi ya nne ya msimamo wa ligi kuu kufuatia kuwa na pointi 30, nyuma ya Mbeya City yenye pointi 31, ambapo inahitaji kujipanga ili iweze kufanikiwa kusonga mbele. Akizungumza na Championi...

 

10 years ago

Habarileo

RC apata hofu Dodoma kuwa Jiji

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa amesema ni ndoto kwa sasa Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji, kutokana na kuwa na kiwango kidogo cha ukusanyaji mapato licha ya kuwa na uwekezaji mkubwa wa serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani