Tambwe apata kashfa
![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lN86XNyg7D3jIYlydoOzBOYExxMZqeg5z2Z0TQzv2wkrhQkz9PVMx0DOAKSdDLbO4JA7HobcyaQrl362vuramP1/WW.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiwania mpira na beki wa Simba, Juuko Murshid. Mwandishi Wetu Dar es SalaamYALE mambo ya kudhalilishana sasa yanaonekana kuendelea kushika kasi baada ya mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe kunaswa na kamera ‘noumaa’ za gazeti la Championi akimdhalilisha beki wa Simba, Juuko Murshid. Tambwe raia wa Burundi amenaswa akimvuta kwa makusudi sehemu za siri beki huyo ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Mwenyekiti CCM apata kashfa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgb0jWCRgIHg3G*oxJlNwCjazt4e75S1cSIULGsfQ1IjpzPwiVmGVGZVu3*oDxHPVdn7m5xPH0SdkVP04ovNkO3D/lulu.jpg?width=650)
LULU APATA KASHFA MPYA!
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Tambwe apata hofu Ligi Kuu
11 years ago
Uhuru Newspaper03 Jul
KASHFA YA IPTL
Kafulila aikwepa TAKUKURU
Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ameshindwa kuwasilisha ushahidi wake kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuhusiana na kashfa ya malipo yaliyofanywa na Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow.
Kafulila aliibua tuhuma hizo huku akiwatuhumu baadhi ya mawaziri na watendaji wa serikali, ambapo mara kadhaa serikali imekuwa ikitoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo.
Hata hivyo, serikali ilitangaza kukabidhi...
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Kashfa ya Escrowtageta yafukuta TZ
11 years ago
Habarileo21 Dec
Padri akumbwa na kashfa
KANISA Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini hapa, akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja.
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Kashfa ufisadi CCM
SHULE za Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimekumbwa na taharuki baada ya bodi yake ya wadhamini kuwalazimisha wakuu wa shule hizo kulipa ada ya sh milioni 2.5...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Kashfa nzito Tafico
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeingia katika kashfa nzito ya kudaiwa kutafuna zaidi ya sh milioni 200 za kujenga ukuta wa kuzuia kuanguka kwa jengo la lililokuwa Shirika...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Kashfa ya ajira TFDA
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeingia kwenye kashfa ya kumwajiri mtumishi asiye na cheti cha kitaaluma kuwa msaidizi wa maabara ya dawa kuanzia Desemba 2, 2013. Mkurugenzi wa...