Kashfa ufisadi CCM
SHULE za Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimekumbwa na taharuki baada ya bodi yake ya wadhamini kuwalazimisha wakuu wa shule hizo kulipa ada ya sh milioni 2.5...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Kashfa nzito ya ufisadi Moshi
10 years ago
Mwananchi07 Mar
JK akana kuyumbishwa na kashfa za ufisadi
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Nchemba: Dk Magufuli hana kashfa ya ufisadi
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Tunataka Rais jasiri atakayefufua kashfa za ufisadi huu
RUSHWA na ufisadi ni mambo ambayo yametangaziwa vita na kila awamu ya serikali inayoingia madarak
Joseph Mihangwa
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-5NjO-_VYVXo/VW3skJ7QijI/AAAAAAAAB4g/u7uMJuZpdSI/s72-c/CGFqQnjWMAA-3Wu.jpg)
RAISI WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA UFISADI
![](http://1.bp.blogspot.com/-5NjO-_VYVXo/VW3skJ7QijI/AAAAAAAAB4g/u7uMJuZpdSI/s400/CGFqQnjWMAA-3Wu.jpg)
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amejiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.Blatter alichaguliwa tena wiki iliopita licha ya maafisa wake saba wakuu kukamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi .
![](http://1.bp.blogspot.com/-h7zsaeBgLMw/VW3retfdFmI/AAAAAAAAB4M/4VXz4CMEQe0/s640/CGGF8qHWIAAPXh4.jpg)
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Mwenyekiti CCM apata kashfa
10 years ago
Mwananchi08 Jul
CCM ina kashfa ya escrow tu, asema Msekwa
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Ufisadi CCM, Chadema
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ameibua ufujaji wa mabilioni ya fedha kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG kwa vyama hivyo aliyoikamilisha Septemba mwaka jana kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa namba tano ya mwaka 1992, sehemu ya 14 (1)(b) imeibua madudu hayo.
Taarifa hiyo ya CAG ambayo MTANZANIA imeiona, imechambua hesabu za Chadema na CCM na kusema wakati wa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Ufisadi ndio utakuwa kaburi la CCM
KAMA Kionambali angekuwa mshauri wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, basi angemshauri wasihangaike kutuma viongozi wao kuzunguka nchi kwenda kuangua kilio mbele ya wananchi huko waliko vijijini. Kwa lugha...