Nchemba: Dk Magufuli hana kashfa ya ufisadi
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli hawezi kufananishwa na mgombea yeyote kwa rekodi ya utendaji na uadilifu wake kazini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Nov
Wabunge- Majaliwa hana kashfa
BAADA ya wabunge kuthibitisha jina la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (55) aliyeteuliwa na Rais John Magufuli jana, wabunge wameelezea kufurahishwa na uteuzi huo na kusema anastahili kwa kuwa hana kashfa za kimaadili.
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Kashfa ufisadi CCM
SHULE za Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimekumbwa na taharuki baada ya bodi yake ya wadhamini kuwalazimisha wakuu wa shule hizo kulipa ada ya sh milioni 2.5...
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Kashfa nzito ya ufisadi Moshi
10 years ago
Mwananchi07 Mar
JK akana kuyumbishwa na kashfa za ufisadi
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Tunataka Rais jasiri atakayefufua kashfa za ufisadi huu
RUSHWA na ufisadi ni mambo ambayo yametangaziwa vita na kila awamu ya serikali inayoingia madarak
Joseph Mihangwa
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-5NjO-_VYVXo/VW3skJ7QijI/AAAAAAAAB4g/u7uMJuZpdSI/s72-c/CGFqQnjWMAA-3Wu.jpg)
RAISI WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA UFISADI
![](http://1.bp.blogspot.com/-5NjO-_VYVXo/VW3skJ7QijI/AAAAAAAAB4g/u7uMJuZpdSI/s400/CGFqQnjWMAA-3Wu.jpg)
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amejiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.Blatter alichaguliwa tena wiki iliopita licha ya maafisa wake saba wakuu kukamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi .
![](http://1.bp.blogspot.com/-h7zsaeBgLMw/VW3retfdFmI/AAAAAAAAB4M/4VXz4CMEQe0/s640/CGGF8qHWIAAPXh4.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-RFOboB6h-ys/Xr-C9_7PijI/AAAAAAACLBE/BgYJQ1YyI5oZsJF4lJ_aSHRM14P-FNsawCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200515_114019.jpg)
BABA WA UZAO: RAIS DK. MAGUFULI HANA HISTORIA YA KUSHINDWA KATIKA UTENDAJI WAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-RFOboB6h-ys/Xr-C9_7PijI/AAAAAAACLBE/BgYJQ1YyI5oZsJF4lJ_aSHRM14P-FNsawCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200515_114019.jpg)
Kanisa Halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam, limesema, Rais Dk. John Magufuli, hana historia ya kushindwa katika utendaji wake kwa kuwa amebarikiwa na Mungu Baba, hivyo kila atakayemwinua na kumuombea mema kama lilivyofanya kanisa hilo atapata baraka tena za halali kabisa.
Hayo yamesemwa jana na Kiongozi wa Kanisa hilo anayejulikana kwa jina la Baba wa Uzao, wakati wa kuhitimisha ibada ya siku tisa ya kumuomba Mungu amfiche Rais Dk. Magufuli waovu...
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Magufuli na ufisadi, waasisi wakionea aibu
“SIMMONILE ndiye mtawala mkuu (paramount chief) wa jamii ya kabila la Wanyakyusa, katika kizazi c
Felix Mwakyembe
9 years ago
StarTV01 Sep
Magufuli awaonya maafisa wanaoendeleza ufisadi
Wakati akampeni za kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika octoba 25 mwaka huu Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ametoa onyo kali kwa maafisa walio katika taasisi za serikali na halmashauri mbalimbali nchini wanaoendeleza na kufumbia,macho maswala ya,Rushwa na vitendo vya ufisadi na kuwa kikwa kwa maendeleo.
Magufuli ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ambaye pia ni waziri wa Ujenzi ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia...