Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli na ufisadi, waasisi wakionea aibu

“SIMMONILE ndiye mtawala mkuu (paramount chief) wa jamii ya kabila la Wanyakyusa, katika kizazi c

Felix Mwakyembe

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIBU! KIBOSILE ANASWA LIVE UFISADI WA VYANDARUA

Richard Bukos na Issa Mnally
Ufisadi! Kibosile mmoja aliyefahamika kwa jina la Mangi Pesa amekamatwa na polisi akiwa na shehena ya vyandarua vya serikali vya msaada ambavyo hugawiwa bure, akivitoa kwenye mifuko yake na ‘kuvipaki’ kwenye mifuko ya vyandarua vinavyouzwa. Tukio hilo la kushangaza lilijiri Jumamosi iliyopita kwenye ‘godauni’ la jamaa huyo lililopo katika nyumba moja iliyopo Sinza C jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu ya samaki wa Magufuli iwe funzo gani kwetu

Wakati Waziri wa Mifugo na Uvuvi (wakati ule), Dk John Magufuli alipokamata meli yenye jina la Tawaliq 1 mwaka 2009, ilionekana kama vile tumepiga hatua kubwa katika kulinda rasilimali zetu.

 

9 years ago

Mwananchi

Nchemba: Dk Magufuli hana kashfa ya ufisadi

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli hawezi kufananishwa na mgombea yeyote kwa rekodi ya utendaji na uadilifu wake kazini.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli asaka vinara ufisadi wa mabilioni

0D6A2900*Awataka waliohusika na kashfa ya Sh trilioni 1.3 watoe ushirikiano

* aliyekuwa bosi TRA, Harry Kitilya, mtoto wa Waziri wahusushwa

 

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Mahakama ya London, Uingereza kubaini ufisadi wa Sh trilioni 1.3, zilizotokana na mkopo uliotolewa na benki ya Standard ya Uingereza kwa Serikali ya Tanzania, Ikulu imeanza kusaka watu waliosababisha hasara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,...

 

9 years ago

StarTV

Magufuli awaonya maafisa wanaoendeleza ufisadi

Wakati akampeni za kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika octoba 25 mwaka huu  Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ametoa onyo kali kwa maafisa walio katika taasisi za serikali  na halmashauri mbalimbali nchini wanaoendeleza na kufumbia,macho maswala ya,Rushwa na vitendo vya ufisadi na kuwa kikwa kwa maendeleo.

Magufuli ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ambaye pia ni waziri wa Ujenzi  ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka

John Magufuli Tuesday, October 6, 2015 Na Ananilea Nkya Mwandishi wa makala hii ni Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA. ****** Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania […]

The post Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

UFISADI: Magufuli awajia juu maofisa Tanroads

>Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewajia juu maofisa wa Wakala wa Barabara (Tanroads) mkoani Mwanza baada ya kubaini wanataka kulipa fidia ya zaidi ya Sh100 milioni kutokana na uamuzi wao wa kupitisha barabara kwenye eneo lisilo katika mipango.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, amesema Tanzania ni tajiri wa rasilimali lakini ipo mirija michache inayotiririsha ulaji kwa mafisadi ambayo anataka kuiziba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani