Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, amesema Tanzania ni tajiri wa rasilimali lakini ipo mirija michache inayotiririsha ulaji kwa mafisadi ambayo anataka kuiziba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Lowassa: Nipeni madaraka niwaonyeshe kazi
“Nipeni madaraka tarehe 25 niwaonyeshe kazi,†hayo ni maneno mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa alipokuwa akizungumza na wananchi wa Ngaramtoni waliokuwa wakipiga kelele kumweleza matatizo yao wakati akihutubia.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycM5fm07A0WikWiuOxQ6WxCq1oFpYP5r5Yo1Ef2tMiSEa6PSWP1z0kXwXwiBxgC79O1o0v563XmANLvTtUpDY*qr/loga.jpg)
Loga: Nipeni Mbeya City muone kazi
Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia, amesema amezisikia taarifa za kuyumba kwa Mbeya City na kuwaambia viongozi wa klabu hiyo, wampe nafasi ya kuinoa waone kazi.
Logarusic aliyeinoa Simba kwa nusu msimu, amesema iwapo atakipata kikosi cha Mbeya City, chenye wachezaji anaowajua vizuri, basi kila kitu kitabadilika....
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ufisadi:Majaji 7 wasimamishwa kazi Ghana
Majaji saba wa mahakama ya juu nchi Ghana kati ya 12 wamesimamishwa kazi kwa mda kufuatia madai ya kuhusika katika ufisadi.
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya
Rais Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo,
11 years ago
Mwananchi11 Jul
Kulipwa bila kazi ni dhuluma na ufisadi
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kiuchumi tunaweza kusema inafaida ya nguvu kazi yaani population bonus.
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Ufisadi:Kenyatta awasimamisha kazi 175
Rais Uhuru Kenyatta amewasimamisha kazi viongozi wakuu serikalini 175 kufuatia madai ya ufisadi dhidi yao.
10 years ago
Vijimambo27 Mar
UFISADI KENYATTA AWASIMAMISHA KAZI 175
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/02/150102220926_kenya_president_uhuru_kenyatta_640x360_ap.jpg)
mamlakani katika siku 60 zijazo iliuchunguzi wa kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.
Hayo yalibainika katika ripoti iliyotolewa bungeni na rais Uhuru Kenyatta katika kikao maalum cha bunge la taifa kilichowajumuisha wabunge na maseneta.Rais Kenyatta aliwataka maafisa...
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
Ufisadi:Polisi 63 wafutwa kazi Kenya
Takriban maafisa 63 wa kikosi cha polisi nchini Kenya wamefutwa kazi kufuatia madai ya kuhusika na ufisadi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania