UFISADI KENYATTA AWASIMAMISHA KAZI 175
Ufisadi:Kenyatta awasimamisha kazi maafisa wakuu serikalini 175 kufuatia tuhuma za ufisadi dhi yaoMawaziri 5, makatibu 6 wa kudumu na Magavana 10 wametajwa miongoni mwa maafisa 175 wa umma watakaolazimika kunga'atuka
mamlakani katika siku 60 zijazo iliuchunguzi wa kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.
Hayo yalibainika katika ripoti iliyotolewa bungeni na rais Uhuru Kenyatta katika kikao maalum cha bunge la taifa kilichowajumuisha wabunge na maseneta.Rais Kenyatta aliwataka maafisa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Ufisadi:Kenyatta awasimamisha kazi 175
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Viongozi 175 waliotuhumiwa kwa ufisadi watajwa
9 years ago
Habarileo08 Dec
RC awasimamisha kazi DED, maofisa 11
MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa kufanya ubadhirifu fedha zaidi ya Sh milioni 92.8.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
DC awasimamisha kazi mgambo kwa kupokea rushwa
9 years ago
StarTV06 Jan
Waziri Maghembe awasimamisha kazi Mkurugenzi, maafisa
Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi endelevu ya Rasilimali za Misitu wa Wakala wa Misitu Tanzania TFS Mohammed Kilongo pamoja na maafisa wa misitu wa Mikoa yote nchini kupisha uchunguzi wa ubadhirifu ulioonekana ili ufanyiwe kazi.
Hata hivyo, Waziri huyo pia ametoa siku saba kwa Idara ya Misitu kurudi katika Jengo la Wizara hiyo kwa lengo la kupunguza matumizi mabaya ya fedha za Serikali na kukemea tabia ya kupanga...
9 years ago
StarTV28 Nov
Waziri mkuu awasimamisha kazi vigogo wa TRA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa nchini Tiagi Masamaki na Habibu Mponezya wa kituo cha huduma kwa wateja na kumwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuhakikisha wote wanakamatwa.
Wengine ni Eliachi Mrema Msimamizi mkuu wa Bandari kavu Dar Es Salaam, Haruni Mpande wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Hamisi Omar ambapo watumishi wengine Nsajigwa Mwandegele, Robert Nyoni na Anengisye Mtafya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-62bVmKZQx40/VSUuzlVsAPI/AAAAAAAHPnU/WrJL2WJrZLw/s72-c/unnamed%2B(58).jpg)
Waziri Wasira awasimamisha kazi watendaji watatu wa RUBADA
Akitoa agizo hilo leo mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri Wasira aliwataja Watendaji hao kuwa ni Bwana Aloyce L. Masanja – Kaimu Mkurugenzi Mkuu; Bibi Tabu Ndatulu – Mkurugenzi wa...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU TEMESA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 780 zinazotokana na zabuni.
Vile vile, Waziri Mkuu ametoa muda wa miezi miwili kwa taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na TEMESA kiasi cha sh. bilioni 25.88 ziwe zimeshalipa na iwapo kuna taasisi itashindwa kulipa deni lake hadi Julai 30,...