DC awasimamisha kazi mgambo kwa kupokea rushwa
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, Amani Mwenegoha amewasimamisha kazi mgambo wa Kata ya Igulwa baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa na kuwaachia wahalifu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Repoa: Takukuru ilikithiri kwa kupokea rushwa 2014
10 years ago
Habarileo22 Jan
Mbunge: Sijawahi kupokea rushwa kutoka kwa Liana
MBUNGE wa Bahi, Omary Badwell (CCM) ameieleza Mahakama kuwa hajawahi kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, Sipora Liana.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LCVSK2Si-ig/XsUpAyQcJKI/AAAAAAALq9c/epsSaqgDv4UPCwu4FzvxiJQpFfdCzyNOQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200520-WA0063.jpg)
AFUNGWA MIEZI TANO JELA BABATI KWA KUPOKEA RUSHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LCVSK2Si-ig/XsUpAyQcJKI/AAAAAAALq9c/epsSaqgDv4UPCwu4FzvxiJQpFfdCzyNOQCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200520-WA0063.jpg)
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati, Victor Kimaro alitoa hukumu hiyo jana mjini Babati kwenye mahakama hiyo.
Hakimu huyo alisema mahakama hiyo inamtia hatiani Sulle kwenye kesi hiyo ya jinai namba CC 92/2020 baada ya kuridhika na ushahidi uliowasilishwa na wakili wa Takukuru Evelyine Onditi.
Hakimu Kimaro alisema hata hivyo, washtakiwa...
9 years ago
Habarileo08 Dec
RC awasimamisha kazi DED, maofisa 11
MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa kufanya ubadhirifu fedha zaidi ya Sh milioni 92.8.
10 years ago
Vijimambo27 Mar
UFISADI KENYATTA AWASIMAMISHA KAZI 175
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/02/150102220926_kenya_president_uhuru_kenyatta_640x360_ap.jpg)
mamlakani katika siku 60 zijazo iliuchunguzi wa kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.
Hayo yalibainika katika ripoti iliyotolewa bungeni na rais Uhuru Kenyatta katika kikao maalum cha bunge la taifa kilichowajumuisha wabunge na maseneta.Rais Kenyatta aliwataka maafisa...
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Ufisadi:Kenyatta awasimamisha kazi 175
9 years ago
StarTV06 Jan
Waziri Maghembe awasimamisha kazi Mkurugenzi, maafisa
Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi endelevu ya Rasilimali za Misitu wa Wakala wa Misitu Tanzania TFS Mohammed Kilongo pamoja na maafisa wa misitu wa Mikoa yote nchini kupisha uchunguzi wa ubadhirifu ulioonekana ili ufanyiwe kazi.
Hata hivyo, Waziri huyo pia ametoa siku saba kwa Idara ya Misitu kurudi katika Jengo la Wizara hiyo kwa lengo la kupunguza matumizi mabaya ya fedha za Serikali na kukemea tabia ya kupanga...
9 years ago
StarTV28 Nov
Waziri mkuu awasimamisha kazi vigogo wa TRA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa nchini Tiagi Masamaki na Habibu Mponezya wa kituo cha huduma kwa wateja na kumwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuhakikisha wote wanakamatwa.
Wengine ni Eliachi Mrema Msimamizi mkuu wa Bandari kavu Dar Es Salaam, Haruni Mpande wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Hamisi Omar ambapo watumishi wengine Nsajigwa Mwandegele, Robert Nyoni na Anengisye Mtafya...