Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFUNGWA MIEZI TANO JELA BABATI KWA KUPOKEA RUSHWA

MKAZI wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Idd Sulle amehukumiwa kwenda jela miezi mitano kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 120,000.
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati, Victor Kimaro alitoa hukumu hiyo jana mjini Babati kwenye mahakama hiyo. 
Hakimu huyo alisema mahakama hiyo inamtia hatiani Sulle kwenye kesi hiyo ya jinai namba CC 92/2020 baada ya kuridhika na ushahidi uliowasilishwa na wakili wa Takukuru Evelyine Onditi. 
Hakimu Kimaro alisema hata hivyo, washtakiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Afisa wa Tanroad wilayani Babati jela kwa rushwa

Mahakama ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara leo imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mkuu wa manunuzi wa Tanroads, Raphael Chauma baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuomba rushwa.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAFUNZI AFUNGWA JELA KWA KUMTUKANA RAIS KWENYE MTANDAONI

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika mtandao.Alan Wadiu Okengo mwenye umri wa miaka 25 pia atalipa faini ya dola 2,200 la sivyo ahudumie kifungo chengine cha mwaka mmoja.Alikuwa ameshtakiwa kwa kutoa matamshi ya chuki baada ya kusema kuwa watu wa kabila la rais la kikuyu wanafaa kuwekewa mipaka katika maeneo fulani.

Mwanablogu mashuhuri nchini humo pia alishtakiwa baada ya kumwita rais Uhuru Kenyatta 'rais ambaye...

 

10 years ago

Mwananchi

Afungwa jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha

Mahakama ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro imemuhukumu kifugo cha miaka 30 jela, Stephan Moleli mkazi wa Ngereiyani Wilayani Siha kwa kosa la unyang’anyi kwa kutumia silaha.

 

10 years ago

Mwananchi

DC awasimamisha kazi mgambo kwa kupokea rushwa

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, Amani Mwenegoha amewasimamisha kazi mgambo wa Kata ya Igulwa baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa na kuwaachia wahalifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza

Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu imemhukumu Bahati Lukas (25) kifungo cha nje miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa jeneza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Miezi 6 jela kwa wapenzi wa jinsia moja

Watu 7 wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela nchini Senegal kwa kuenda kinyume na madili

 

10 years ago

Mwananchi

Repoa: Takukuru ilikithiri kwa kupokea rushwa 2014

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetajwa katika utafiti kuwa ni kati ya taasisi zilizoshika nafasi za juu kwa kupokea rushwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge: Sijawahi kupokea rushwa kutoka kwa Liana

MBUNGE wa Bahi, Omary Badwell (CCM) ameieleza Mahakama kuwa hajawahi kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, Sipora Liana.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke aliyetapeli kwa Airtel Money jela miezi 6

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa hapa kwenda jela miezi sita, kwa kosa la utapeli wa fedha kwa njia ya mtandao wa Airtel Money kwa mawakala mbalimbali wilayani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani