Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afungwa jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha

Mahakama ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro imemuhukumu kifugo cha miaka 30 jela, Stephan Moleli mkazi wa Ngereiyani Wilayani Siha kwa kosa la unyang’anyi kwa kutumia silaha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa silaha

WAKAZI wawili wa vijiji vya Nyabisaga Kata ya Pemba wilayani Tarime mkoani Mara, Mhoni Chacha Ng’wena (25) na Isack Magawi Meng’anyi (30), wamehukumiwa kwenda jela miaka 30 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 unyang’anyi wa silaha

MKAZI wa Magomeni Makuti, Omary Ayub (25) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi kwa kutumia silaha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 30 jela kwa unyang’anyi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela pamoja na kuchapwa viboko 10, mkazi wa Mtakuja, Makarani Wambura (25) baada ya kupatikana na hatia ya...

 

11 years ago

Habarileo

Atupwa miaka 30 jela kwa unyang’anyi

MWANAUME mmoja amehukumiwa na mahakama ya wilaya ya Musoma mkoani Mara, kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 10, baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mbwamwitu’ mahakamani kwa wizi, unyang’anyi

>Wakazi Saba wa jiji la Dar es Salaam, ‘Mbwa mwitu’  au “Kundi la Waasi”  wamefikishwa  katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Habarileo

Baba, mwana kizimbani kwa kosa la unyang’anyi

WATU wanne akiwamo baba mzazi na mwanawe wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kwa makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Bongo5

Mwanamuziki maarufu wa Rwanda afungwa miaka 10 jela kwa kupanga njama dhidi ya Rais Kagame

Mahakama ya Rwanda Ijumaa iliyopita ilimhukumu mwanamuziki maarufu wa nchini humo, Kizito Mihigo kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kupanga njama dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Kizito Mihigo Mihigo alipatikana na hatia ya kuanzisha kundi la kihalifu na njama ya kutekeleza mauaji japo jaji alitupilia mbali makosa ya kuhusika kwenye vitendo […]

 

10 years ago

Vijimambo

Muimbaji Maarufu Rwanda Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama Kumuua Rais Kagame.

Muimbaji maarufu wa Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kumuua Rais Kagame na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kumuua Rais Paul KagameMshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa ugaidi na matusi.Ameendelea kukataa mashtaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani