Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa silaha

WAKAZI wawili wa vijiji vya Nyabisaga Kata ya Pemba wilayani Tarime mkoani Mara, Mhoni Chacha Ng’wena (25) na Isack Magawi Meng’anyi (30), wamehukumiwa kwenda jela miaka 30 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Afungwa jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha

Mahakama ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro imemuhukumu kifugo cha miaka 30 jela, Stephan Moleli mkazi wa Ngereiyani Wilayani Siha kwa kosa la unyang’anyi kwa kutumia silaha.

 

10 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 unyang’anyi wa silaha

MKAZI wa Magomeni Makuti, Omary Ayub (25) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi kwa kutumia silaha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 30 jela kwa unyang’anyi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela pamoja na kuchapwa viboko 10, mkazi wa Mtakuja, Makarani Wambura (25) baada ya kupatikana na hatia ya...

 

11 years ago

Habarileo

Atupwa miaka 30 jela kwa unyang’anyi

MWANAUME mmoja amehukumiwa na mahakama ya wilaya ya Musoma mkoani Mara, kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 10, baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mbwamwitu’ mahakamani kwa wizi, unyang’anyi

>Wakazi Saba wa jiji la Dar es Salaam, ‘Mbwa mwitu’  au “Kundi la Waasi”  wamefikishwa  katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Habarileo

Baba, mwana kizimbani kwa kosa la unyang’anyi

WATU wanne akiwamo baba mzazi na mwanawe wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kwa makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Mtanzania

Matukio ya unyang’anyi 653 yatokea nchini

Na Debora Sanja, Dodoma

JUMLA ya matukio 653 ya unyang’anyi wa kutumia silaha yametokea katika kipindi cha mwaka 2010 hadi Februari, mwaka huu.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, wakati akijibu swali la Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi).
Katika swali lake, Mkosamali alitaka kujua idadi ya matukio hayo tangu kipindi hicho, sababu zake na hatua zinazochukuliwa na Serikali.
Silima alisema matukio hayo ya kutumia silaha ni...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafuasi wa Chadema wafutiwa kesi ya unyang’anyi wa silaha

Mahakama ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, imewafutia kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha wafuasi watatu wa Chadema baada ya kukosa ushahidi wa kuwatia hatiani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani