Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afisa wa Tanroad wilayani Babati jela kwa rushwa

Mahakama ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara leo imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mkuu wa manunuzi wa Tanroads, Raphael Chauma baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuomba rushwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

AFUNGWA MIEZI TANO JELA BABATI KWA KUPOKEA RUSHWA

MKAZI wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Idd Sulle amehukumiwa kwenda jela miezi mitano kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 120,000.
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati, Victor Kimaro alitoa hukumu hiyo jana mjini Babati kwenye mahakama hiyo. 
Hakimu huyo alisema mahakama hiyo inamtia hatiani Sulle kwenye kesi hiyo ya jinai namba CC 92/2020 baada ya kuridhika na ushahidi uliowasilishwa na wakili wa Takukuru Evelyine Onditi. 
Hakimu Kimaro alisema hata hivyo, washtakiwa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI BABATI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia Wananchi,katika mkutano wa hadhara wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya ya Babati,mkoani Manyara.Mkutano huo umefanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati,ukihudhuriwa na maelfu ya Wananchi.Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,kwenye ziara ya siku saba mkoani Manyara,ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua...

 

9 years ago

Mtanzania

Mhandisi jela kwa rushwa

NA BEATRICE MOSSES, BABATI

MHANDISI wa maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Baslid Mlay, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ya Sh milioni saba.

Katika kesi hiyo ya jinai namba 118 ya mwaka 2013, Mlay ambaye alishtakiwa kwa tuhuma sita, alitiwa hatiani kwa makosa matatu ambapo kila kosa alihukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Sh 500,000.

Akisoma hukumu hiyo mjini Babati,...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKERWA NA UPORAJI WA MAENEO YA WANANCHI KUTOKA KWA BAADHI YA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WILAYANI BABATI VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza maswali na changamoto mbalimbali walizonazo  kutoka kwa Wananchi wa kata ya Ayamango (Gallapo),Wilayani Babati Vijijini mkoani Manyara kwenye mkutano wa hadhara.Baada ya kusikiliza maswali kinana alionekana kukerwa kwa kiasi kikubwa wananchi wanavyoporwa maeneo yao na viongozi wa chama na Serikali wakiwemo na baadhi ya wawekezaji, Kinana aliahidi suala hilo ambalo limekithiri kwa kiasi kikubwa wilayani humo,kulitafutia ufumbuzi kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afisa wa FIFA akiri alipokea rushwa

Marekani imechapisha taarifa inayoelezea jinsi Afisa wa zamani wa FIFA Chuck Blazer alivyokiri kuwa kupokea rushwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu

AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa. Anadaiwa kutumia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afisa jela kuhatarisha usalama wa ndege

Afisa mtendaji wa zamani wa shirika la ndege la Korea amefungwa jela kwa kosa la kuhatarisha usalama wa ndege

 

5 years ago

Michuzi

Afisa Uhamiaji aliyekula Rushwa ya Shilingi 315,000 kuwajibishwa.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameiagiza Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Rukwa kumchukulia hatua za kinidhamu Afisa uhamiaji wa Wilaya ya Nkasi aliyechukua Rushwa ya Shilingi 315,000/= kutoka kwa wahamiaji wa nchi ya Burundi aliyekuwa anapita nchini kuelekea nchi za kusini mwa Afrika.

Mh. Wangabo amesema kuwa serikali haiwezi kukubali mtumishi mmoja kuvichafua vyombo vya ulinzi na usalama na kuongeza kuwa mtumishi huyo anatakiwa kuwa fundisho kwa maafisa wengine wa vyombo hivyo kwani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya kuunganisha wakulima na fursa za mitaji yafanyika wilayani Babati

unnamed (2)

Kulia Mkurugenzi wa TAHA Bi. Jacqueline Mkindi akiwa na Mgeni rasmi ndugu Athumani Karunde wakati wa kutembelea mabanda ya waoneshaji.

unnamed (3)

Mgeni rasmi akipata taarifa za namna TAHA inavyofanya kazi ya kuwahudumia wakulima na kuwaunganisha na fursa za mikopo ya kilimo biashara kutoka kwa maofisa wa TAHA.

unnamed (4)

Wakulima wakipokea maelezo ya namna ya kuunganishwa na fursa za Mikopo toka kwa maafisa wa TAHA.

unnamed (7)

Tom Olesika, Mkurugenzi wa Agri Pro Focus akinena jambo wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.

unnamed (5)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani